Precision Air yapata ugonjwa wa ATCL

Magezi what do you mean here? Hutaki tumlaumu lakini unasema pia kwamba ndio yeye anayeweka hao wanaoua mashirika, yaani anaweka wauaji then tusimlaumu?? Then tuwalaumu hao wanaoua au? Lawama zote ni za kwake kwani ana kila kitu cha kumfanya awajuwe hao anaowaweka kuliko sisi wote lakini still anawaweka simply kwa sababu ni class mates zake au walichangia kumweka ikulu. Nimekuwa nikisema hili mara zote na sitachoka kulirudia, Rais Kikwete hii nchi si yako na marafiki zako na jamaa zako ni ya watanzania wote na Mungu anayaona unayotufanyia. I'm sure one day you will pay the price be it here or somewhere else.

Yea, nadhani hapa nilijichanganya, asante kwa kunisahihisha.
 
Back
Top Bottom