Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Magufuli hatabiriki, anajikomba sana kwa Kikwete na usishangae Ridhiwani kuwa waziri kamili muda wowote. Nani alidhani Mama Salma atateuliwa Mbunge na Magufuli?

Wewe humjui kabisa jiwe. Hajawahi jikomba kwa yeyote. Wana historia yao. Mama Salma mwalimu na mama Janet Mwalimu. Kuna vitu hata wewe unafanya kwa watu wako wa karibu. Kujikomba ni kufanya jambo ili huyo unayemfanyia au Wa Karibu yake akufanyie jambo. Tena Mdogo awe mkubwa. JPM ni Namba 1 tz. Nani Wa kujikomba hapo. We unadhani ukimchokoza huyo kuna mwingine wa kukuokoa? Acheni lugha zenu za Kitoto.
 
Nyie MATAGA mguseni SASA muisikie harufu yake
 
Maisha ya Mtu siyo jambo la kufanyia utani
Taarifa zozote za kudhuru maisha ya mtu lazima yachukuliwe kwa uzito mkubwa
Weka siasa pembeni, angalia uhai wa mtu
Ni kweli; ila soap opera lazima tuziangalie pia
 
Tanzania hakuna shushushu wala kachero mbobezi, narudia tena hakuna, membe sio kachero , na haitakuja tokea akawa na uwezo huo, huwezi kuwa kachero kwa kutegemea maneno ya mitandaoni au kuwa karibu na watu wa usalama ukajiita kachero mbobezi, mwambieni asitupotezee muda .
 
Kwani huyo anayejiita Namdi Azikiwe Shoo ndio Fatma Karume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…