hakuna mtu wa CCM atakayemgusa huyo.Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?
Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.
Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
Membe na RIdhiwani hawaamini kabisa kuwa enzi zao zimepita na hazitarudi tena.hakuna mtu wa CCM atakayemgusa huyo.
Bashiru alijaribu kugusa alipata stata ya harufu, ameufyata.
sasa hivi wameishia tu kumtumia yule msukule Musiba!
Magufuli hatabiriki, anajikomba sana kwa Kikwete na usishangae Ridhiwani kuwa waziri kamili muda wowote. Nani alidhani Mama Salma atateuliwa Mbunge na Magufuli?Membe na RIdhiwani hawaamini kabisa kuwa enzi zao zimepita na hazitarudi tena.
Membe anaamini kabisa (na ni ukweli usiopingika) kuwa serekali ya awamu hii inamwogopa sana.Membe na RIdhiwani hawaamini kabisa kuwa enzi zao zimepita na hazitarudi tena.
Premature imbeciles above are very angry because they are mission failed.Dunia hii kuna watu bado wajinga sana.
Hujaelewa?Haujui English Language, grammatical errors kibao.
Kweli mkuuKwanza ccm wote wananuka hata bila kuguswa
Your very angry mission failed.Mleta uzi utakuwa umegida ulanzi wa jioni. Haya mambo ya kujitekenya na kucheka mwenyewe huwa yanakuwa kweli at the end of the time. Biblia inasema maneno huumba. Namshauri Membe au timu yake waache kutengeneza scam fake.
Haujui English Language, grammatical errors kibao.
Mission failed don't panic, you will die before your days my girl.Sina huo muda, kama huwezi kuona hata wewe haujui english language pia!
Endelea tu na hicho kizungu chako cha ugoko. Sina tatizo na hilo, zaidi ya kukuona kichekesho.Premature imbeciles above are very angry because they are mission failed.
AKSANTE MMUU.Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?
Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.
Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
Go and prepare again God is not with you evil planners.Picha ya tangu 2013 Mafinga ndio aileta leo kuhadaa watu. Upuuzi kabisa huu.
Subiri 2020 utajua kama muda wao UMEMPITA au l !💪💪💪Membe na RIdhiwani hawaamini kabisa kuwa enzi zao zimepita na hazitarudi tena.