Pray for ma grandmother popote ulipo

Pray for ma grandmother popote ulipo

Pdidy, pole sana kwa kuuguliwa na kipenzi bibi yako. Mungu ampe uponyaji wa kudumu kabisa.
 
Amen wapendwa ahsanten kwa maombi yenu tuendelee kumwombea akuna kinachshindikana kwake yeye aaminiye kwa mara ya kwanza amekohoa na kufunguamdomo after 5 days tumwombee aweze kula chakula kupitia mdomonimungu wa mbinguni awabariki na asiwaaache katika kila hitaji la mioyo yenu
 
Thanks elizabeth and all prayers cont....................................
 
Vp bibi anaendeleaje? Namtakia afya njema bibi yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom