PPM Vs BAF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PPM Vs BAF

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chiwaligo, May 10, 2011.

 1. C

  Chiwaligo New Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  za muda huu walimwengu wenzangu...naomba msaada wenu katika hli Suala.......eti between Bsc. Economics in PROJECT PLANNING MANAGEMENT(PPM) and Bachelor of Accounting and finance(BAF), which one is more demanded in terms of marketability? and ipi itamsaidia msomaj katka suala zima la kujiajiri mbele ya safari?
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  zote unaweza kuajiajiri ila BAF naona iko marketable zaidi.
   
 3. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  hapo hakuna hata moja inafaaaa... ukizingatia kila mtu anasoma mambo hayo... Nakushauri utafute chuo kinachofundisha Nuclear Physics. iko marketable sana na Tanzania wako katika harakati za kuanzisha kinu kikubwa hapo badae
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  say it again:laugh::laugh:hizi fizikia na kemia tunazikimbia sana mashuleni
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kasome BAF ni marketable kwa sababu Makampuni mengi yanaanzishwa na yaliyopo yanajitahidi kuexpand kila kukicha.
  Usiogope wingi wa watu wanaosoma hiyo kozi. Kwanza kuna wengine huishia njiani.
  Kila la heri.
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kozi zote ni nzuri issue ni wewe mwenyewe kujiweka competent. Yaani nafasi ya kufanya vizuri kwenye soko inategemeana na wewe mwenyewe zaidi na si kozi. Pia na pale unaposemea ni muhim saana.
   
 7. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe sikiliza wasije wakakudanganya, BAF inalipa kuliko kozi yoyote kwa bongo! Usiangalie eti uhasibu unafundishwa kila chuo, BAF tena ya Mzumbe ni exceptional!! waajili wengi wanawahitaji, na vijana wanatoka kiurahisi zaidi! Hilo li PPM lako utapoteza muda bure, na kutoka mwanangu itakuchukua muda mrefu, pia ni kazi ambayo inaurasimu mkubwa, lakini BAF serikalini na private, international na local zote hizo ni market yako, lakini PPM? labda serikalini, na serikalini nafasi mpaka uwe unarefa, lakini BAF ni vyeti vyako tu!!! tena kama GPA nzuri, utalinga!!!
   
 8. O

  ODILI SAMALU JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2014
  Joined: Dec 13, 2013
  Messages: 1,261
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  BAF iko poa sana
   
 9. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2014
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,606
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  baf mzumbe,st john,ardhi ,muccobs ni wewe tu kuchagua
   
 10. m

  mzee wa kismati JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2014
  Joined: Aug 25, 2013
  Messages: 1,553
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  architecture.. Engeneering...building economics..... Health usipotoshe umma
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2014
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu kama mtu kasoma hge au eca unataka akasome health(japo sijui ulimaanisha nini hapa) au engineering???? Je huoni wewe ndiye unapotosha watu???
   
Loading...