Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
- Thread starter
- #61
Kweli kabisa[emoji23]Mzee alikuwa mjasiriamali wa mwendo kasi
Kweli kabisa[emoji23]Mzee alikuwa mjasiriamali wa mwendo kasi
Kwa hiyo unamaanisha kaaenda kwa waganga ili aupate ?hivi mtu akienda kwa babu kiikombe, atashindwa kwenda kwa waganga wa kienyeji? babu aliumbua watu wengi sana.
Kila mtu ni mgonjwalowasa mgonjwa!
Snake and cut cry= nyoka kisha kata kulia17) kizungu hakipendi ujinga =English loves not stupid
Pia yeye ni mkamiaMkuu pia alidanganyika na kikombe cha babu samunge..sasa yeye alienda kule alikuwa anaumwa ugonjwa gani?