Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Huo mkono wa koti unatosha kuwa trouser.Napenda sana makoti ya draft draft yenye vifungo vinne mikononi.
Ni katika harakati za kupata kumbukumbu ya kikombe cha babu, sijui kama huyu cameraman alijua Magu ataingia magogoniSi bure uyo Kuna namna, atajibinuaje ivyo?
Ni katika harakati za kupata kumbukumbu ya kikombe cha babu, sijui kama huyu cameraman alijua Magu ataingia magogoni
[emoji13]Kivazi chake mmmmmh?!!
Huyu aliyefotolewa.
[emoji3] [emoji3]Huo mkono wa koti unatosha kuwa trouser.