mshana umenikumbusha kesi moja na lecturere wangu! ni mama mtu mzima sana kiumri, sasa kuna siku jamaa kaandika miss XXX, badala ya madama XXX! huyo lecturer alisala mpaka akamkata score kwenye assignment! dadeki..
sasa nikuulize swali, una uhakika gani kuwa FaizaFoxy ni bidada ama bibibi? lol...
Hebu tufanye kikao cha upendo halafu tumualike mwishoni
Mamndenyi wangu upo kimya
MziziMkavu atajibu hapa.
yule mzee mkali kweli aisee! hebu ngoja ninyamaze kwanza nicje nikashindwa kusimamisha bure!:cool2:
Ha ha haaa,
Sie hapa jamvini tupo zaidi ya kumi,
Ngoja tujipange akija bongo atoe huduma kwa wakati mmoja.
Hapa simtaji ili asije akashtuka.