Mkuu naomba kufahamu jinsi ya kufanya malipo kwa njia ya M-pesa Master Card,nahitaji kuinunua but inakataa nipe mwongozo tafadhali.
Niliyonayo haisumbui anaeitaka namba dm ya telegram nikutumie ya uhakika haina tatizo nina mwezi nayo
Sent using Jamii Forums mobile app