Bro, hapo kwenye gharama sina uhakika sana ila moja kati ya vitu vinavoipa thamani movies za wenzetu ni hy VFX, kuna movies mwanzo mpaka mwisho ni VFX tuu halafu unaambiwa bajeti ni Tsh 50T na ukiangalia hy movie kweli ww mwenyewe unaifurahia, kwahy kwa vyovyote vile VFX ni teknolojia ya gharama sana