Power of VFX bongo sijui tunafeli wapi tu

Sijawai sikia ata kumpun moja na gharama yake nayo ni changamoto kwa nchi zetu za kiafrika
Gharama ni kikwazo lakini siyo kikwazo kikubwa kiasi hicho. Unaweza kutengeneza cool VFX kwa gharama ndogo mno na ukapendezesha movie yako au video kwenye muziki. Ni kucheza na ubunifu tu. Nadhani sehemu ambayo waafrica itatupa shida sana kwenye VFX ni kwenye kutengeneza realistic CGI's. Hapo kama huna team na vifaa vya maana hutoboi.
 
Bongo wanajua kuweka graphics tuu bc hapo anajiona anajua kupitiliza, kwenye movies 1000 za Bongo utapata movie 0.1 ina Green effects πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati green effects unajifunza Hata YouTube
 
Bro, hapo kwenye gharama sina uhakika sana ila moja kati ya vitu vinavoipa thamani movies za wenzetu ni hy VFX, kuna movies mwanzo mpaka mwisho ni VFX tuu halafu unaambiwa bajeti ni Tsh 50T na ukiangalia hy movie kweli ww mwenyewe unaifurahia, kwahy kwa vyovyote vile VFX ni teknolojia ya gharama sana
 
Lakin si unaona movie inakuwa na ubora japo gharama kubwa
Ndo hvy mzee, achana na Bongo ety bajeti ni 5m hapo kalipa kila kitu na bado analalamika kapigwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…