StaffordKibona
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 669
- 62
Yah:
Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!
Asante sana Clouds - for the first time!
you are all good guyz..keep it up..:whoo:
Tanesco wabaya, wazembe wasiowajibika. Aliyeteua mkurugenzi ni mzuri na anawajibika, aliyeteua bodi ya wakurugenzi ni ( waziri for that matter) ni mzuri pamoja na kuwa watu aliowateua ni wazembe na hawawajibiki.
Kabla ya kutukana management wangeanza kumtukana aliyeteua mkurugenzi mkuu na bodi nzima ya Tanesco.