Potiff Benedict XVI...........hata sasa..... na hata milele.....Amin

KIKUNGU kaka mkubwa nakutakia kwaresma njema, Mungu akutangulie katika toba yako, akufanye uwe mtu safi siku zote za maisha yako.

wakatoliki wenzangu leo tukapakwe majivu wanangu Ronn M, @naohnism, msiache kwenda kusali. Asprin na cacico jamani starehe mzifunge kuanzia leo mkumbuke haya "" umekosa nn weee Yesu kushtakiwa bure mbele za pilato..............."" snowhote na Kaunga funga yetu iwe ni kujitoa sana kwenye vyama vya kitume tusione uvivu jamani. this kwaresa nimeweka nia kwamba nashiriki vyema kwenye vyama vya kitume hasa WAWATA na baraza la WALEI
 
Last edited by a moderator:

Khee! Hivi kumbe leo ndo jumatano ya majivu?? Mamamia!!
 
khee! Hivi kumbe leo ndo jumatano ya majivu?? Mamamia!!

ndio leo Asprin uwah kanisani hapo mbele ya ofc yako ili upakwe majivu. Na uweke nia ya kweli ya kuwapenda wengine na kumtumikia mungu kwa mali zako na nguvu zako
 
Last edited by a moderator:
Mkuu...ni Pontiff na sio Potiff...

Back to topic...Pope Benedict XVI kaweka history...nami naskitika kujiuzuru kwake yet ni furaha kuishuhudia historia ikiandikwa mbele yetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kakimbia kashfa maana mazungu yameshaanza kuoana midume kwa midume mwisho yatashinikiza kanisa liwatambue, kapumzike mzee wa watu
 
KIKUNGU kaka mkubwa nakutakia kwaresma njema, Mungu akutangulie katika toba yako, akufanye uwe mtu safi siku zote za maisha yako.

wakatoliki wenzangu leo tukapakwe majivu wanangu Ronn M, @naohnism, msiache kwenda kusali. Asprin na cacico jamani starehe mzifunge kuanzia leo mkumbuke haya "" umekosa nn weee Yesu kushtakiwa bure mbele za pilato..............."" snowhote na Kaunga funga yetu iwe ni kujitoa sana kwenye vyama vya kitume tusione uvivu jamani. this kwaresa nimeweka nia kwamba nashiriki vyema kwenye vyama vya kitume hasa WAWATA na baraza la WALEI

kwa kweli!
ni nia njema mwali!
 
Back
Top Bottom