Potiff Benedict XVI...........hata sasa..... na hata milele.....Amin

Potiff Benedict XVI...........hata sasa..... na hata milele.....Amin

the pope is 85 and kaka yake is 89!! familia imebarikiwa. natamani na mie na brothers wangu tufike that age.
 
KIKUNGU kaka mkubwa nakutakia kwaresma njema, Mungu akutangulie katika toba yako, akufanye uwe mtu safi siku zote za maisha yako.

wakatoliki wenzangu leo tukapakwe majivu wanangu Ronn M, @naohnism, msiache kwenda kusali. Asprin na cacico jamani starehe mzifunge kuanzia leo mkumbuke haya "" umekosa nn weee Yesu kushtakiwa bure mbele za pilato..............."" snowhote na Kaunga funga yetu iwe ni kujitoa sana kwenye vyama vya kitume tusione uvivu jamani. this kwaresa nimeweka nia kwamba nashiriki vyema kwenye vyama vya kitume hasa WAWATA na baraza la WALEI

Asante mamito, mimi najiunga Karismatic naona huko nita-grow kiimani kuliko WAWATA na the like.
 
Mkuu...ni Pontiff na sio Potiff...

Back to topic...Pope Benedict XVI kaweka history...nami naskitika kujiuzuru kwake yet ni furaha kuishuhudia historia ikiandikwa mbele yetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu ni
NASIKITIKA na sio naskitika
KUJIUZULU na sio Kujiuzuru.
 
Back
Top Bottom