Potiff Benedict XVI...........hata sasa..... na hata milele.....Amin

Ameanza utumishi akiwa kijana sana. Mungu ambariki kwa kuyatoa maisha yake kumtumikia.
Hii ni changamoto kwangu na kwako ambao kila siku tunahangaikia maisha ya duniani, je tunatenga japo 0.1% ya maisha yetu kwa ajili ya kazi ya Mungu? Tukumbuke maisha ya duniani ni mafupi sana, tukumbuke kuwekeza katika maisha ya baadae.

Haya shime tunapoanza Mafungo ya Kwaresma kesho, basi iwe ni muda wa mabadiliko ya kiroho.

Hiyo picha ya The Late Pope John Paul II imenikumbusha mbali sana na kunitoa machozi.
Mwenyezi Mungu amuweke mahala Pema Peponi. Amina.
 
sijui kwanini nimelia kwa hii thread!sijui!
ahsante mtani wangu KIKUNGU
NASADIKI KWA KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.............

Mtani wangu snowhite nimefurahi na kusikitika kwa wakati mmoja,kujirudia historia baada ya miaka 600 imenifurahisha kuwa sehemu ya historia kama mkatoliki,inanisikitisha kuona Potiff Ratziger ana-resign kutokana na umri na afya kuyumba.Kwa kujianda na kwaresma hii nitadedicate mfungo wangu kwa papa huyu,ilumbuye Kaunga naomba uniunge mkono.Karucee,naomba uniunge mkono kwaresma hii,gfsonwin hata wewe pia
 
Mungu ni mwema atamjalia mtumishi wake huyu maisha marefu,naomba na mimi nikujoin katika mfungo wako huo kaka.
napenda sana kanisa KATOLIKI namshukuru Mungu kwani naamini watoto wangu watakua katika kanisa hilo.
 
Inahuzunisha sana...Halafu Pia alikuwa ni Profesa katika chuo kikuu kimoja huko Ujerumani....Na hata alipopata Upapa alitembelea Chuo chake hicho na kutoa lecture pale kwa mara ya mwisho...Kwa kweli hawa watu wamesoma sanaaaa....Proudly Catholic the one and only Holy Church..
 
Dada Smile weka nia na join na mimi katika hili,mungu akujalie sana......hata sasa......na hata milele...Amin

Inahuzunisha sana...Halafu Pia alikuwa ni Profesa katika chuo kikuu kimoja huko Ujerumani....Na hata alipopata Upapa alitembelea Chuo chake hicho na kutoa lecture pale kwa mara ya mwisho...Kwa kweli hawa watu wamesoma sanaaaa....Proudly Catholic the one and only Holy Church..
,

Mpendwa katika bwana tedo naomba unijoin kwaresma hii iwe kwa ajili ya Potiff Ratziger,.....hata sasa.....na hata milele.....Amin

Asante sana, pia leo ni Jmatano ya majivu tukumbushane kwa hili.
 
Ameanza utumishi akiwa kijana sana. Mungu ambariki kwa kuyatoa maisha yake kumtumikia.
Hii ni changamoto kwangu na kwako ambao kila siku tunahangaikia maisha ya duniani, je tunatenga japo 0.1% ya maisha yetu kwa ajili ya kazi ya Mungu? Tukumbuke maisha ya duniani ni mafupi sana, tukumbuke kuwekeza katika maisha ya baadae.

Haya shime tunapoanza Mafungo ya Kwaresma kesho, basi iwe ni muda wa mabadiliko ya kiroho.

Hiyo picha ya The Late Pope John Paul II imenikumbusha mbali sana na kunitoa machozi.
Mwenyezi Mungu amuweke mahala Pema Peponi. Amina.

Mkuu Mkeshaji.........hata sasa ......na hata milele........Amin

Back
Top Bottom