Zinatoka lin sass
Uwe mpole
Zinatoka lin sass
mkuu never give upsiku ndo inaixha hiyo
Mbona mnaliliaa kwani mmeambiwa hatuta zitoa
Mnataka post afu shule zenyewe msosi hakuna
Kama VP chukua mlenda ujinyonge , ni hivi official post we will release tomorrow oyyyo by #Mr_Podsonkudadek wahusika wahizo post wanafanya nin mpaka sahv?
kama kaz imekua ngum waseme ukwel sio kupiga kimya.
tumesubir tumechoka uvumiliv unaelekea ukingon sasa af nanyie mnao zungumzma habr msizo kua na uhakika mara kesho mara leo mkome.
Kwan siku tayar imeshaisha? Subir kijana, leo lazima tuzitoe
juma3 uakika
juma3 uakika