juma3 uakika
Kama VP chukua mlenda ujinyonge , ni hivi official post we will release tomorrow oyyyo by #Mr_Podson
acha umbea ww kama hauna uhakika acha kuropoka mwanamme ww
juma3 uakika
Hivi Hao Wanaopost Vitu Vya Kizush Wanaijua Shida Tunayopitia Mtaa? Au Wanaongea Tu Ili Nao Waonekane Wamechangia Mada Au Hawana Vitu Vya Kufanya? Si ajab Mingne Ikawa Ni Mijitu Mizima Huo Ni Ulimbuken Wa Mitandao! Unapozungmzia Jf Hapa Ni Sehem Ya Watu Wanaojielewa Mijitu Hyo Imeingiaj?
KAA KIMYA!!!
Mr podson.... Shame on you.... ACHA KUONGEA PUMBA HAPAAAA
Mijitu mingine mikubwa bure tu hata vitu yanayo ongea haviendan na umri wao. Com uongo xio mzuri
Loh....... Wadogo Zangu mbona presha juu ivyo..... Kwanini msikae mkatulia shule Mtakwenda tyu hata ikiwa mwakani