Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
natangaza rasmi kuzitoa kesho jmosi trh 27 coz nimechoka na kelele zenu.HALAFU HUYO ANAEULIZA SWALI MOJA KILA CKU AACHE2 COZ HAMUWEZ KUMSAIDIA KAMA ANAVODAI(nisaidieni wakuu nimepata c....)NANI ALIMWAMBIA ALEGEZE MSULI? na akiuliza tena!

uwe na uhakika na unacho kisema.
 
Duh.....!Hi Wizara Na Waziri Wake Kwel Hawana Time Na Sis 4m 4 Wa 2014 Sijuh 2mekosa Nn Kwao Tumechoka Kujb Maswal Mitaan Et Post Ln Dah.....!Kiwaziri Kiko Bize Wana Jf Ni Time Ya Kufanya Madiliko Ktk Serikal 2pige Kura Kwa Uchungu Na C Kuangalia Upenz Wa Chama Note Maendeleo Kwanza Chama Badae
 
natangaza rasmi kuzitoa kesho jmosi trh 27 coz nimechoka na kelele zenu.HALAFU HUYO ANAEULIZA SWALI MOJA KILA CKU AACHE2 COZ HAMUWEZ KUMSAIDIA KAMA ANAVODAI(nisaidieni wakuu nimepata c....)NANI ALIMWAMBIA ALEGEZE MSULI? na akiuliza tena!

unaswaga kama Alfaking vile
 
Duh.....!Hi Wizara Na Waziri Wake Kwel Hawana Time Na Sis 4m 4 Wa 2014 Sijuh 2mekosa Nn Kwao Tumechoka Kujb Maswal Mitaan Et Post Ln Dah.....!Kiwaziri Kiko Bize Wana Jf Ni Time Ya Kufanya Madiliko Ktk Serikal 2pige Kura Kwa Uchungu Na C Kuangalia Upenz Wa Chama Note Maendeleo Kwanza Chama Badae

kwel kiongoz.
 
Post zitatoka tulien tu hii ni serikali sio genge la wahun
Matokeo yenyewe mmeharibu ile mbaya' bado mnasumbua
 
Jamani wana jamvi naomba msimponde aliye ipost Hiyo maada kwa ukwel serikali yetu haina muda na elimu mtiahani watu walifanya mwezi Nov mwakani tokeo ilitoka mwezi wa 2 madogo wanatakiwa kuripoti mashuleni mwezi July Lkn mpaka sasa selection Bado na hawajui wataenda, wapi na combination gani na uwezo wa mzazi ukoje Jamani CCM wameoza kwa ukwel hamna namna nyingine
 
tatizo wizara husika na viongozi wa mashaka.
 
Duh.....!Hi Wizara Na Waziri Wake Kwel Hawana Time Na Sis 4m 4 Wa 2014 Sijuh 2mekosa Nn Kwao Tumechoka Kujb Maswal Mitaan Et Post Ln Dah.....!Kiwaziri Kiko Bize Wana Jf Ni Time Ya Kufanya Madiliko Ktk Serikal 2pige Kura Kwa Uchungu Na C Kuangalia Upenz Wa Chama Note Maendeleo Kwanza Chama Badae

kajifunze kuandika vizuri... sio unachora chora tu..... unafikiri ni txt message hiyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom