Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Kila mmoja anafikiria lake. Hebu karibuni tubadilishane mawazo kwa kuwa ile thread tuliyoitumia imefungwa. karibu.
 
Wakitoa majina selection haraka haraka shule zinafunguliwa. Sisi hatuna pesa za RUZUKU na UFISADI watoe majina mapema.
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3,
 
Ali muber;13111015]zitatoka leo.
we umeipata wap?unaposema jambo lazma utoe evidence.so umeziskia from which source?
 
natangaza rasmi kuzitoa kesho jmosi trh 27 coz nimechoka na kelele zenu.HALAFU HUYO ANAEULIZA SWALI MOJA KILA CKU AACHE2 COZ HAMUWEZ KUMSAIDIA KAMA ANAVODAI(nisaidieni wakuu nimepata c....)NANI ALIMWAMBIA ALEGEZE MSULI? na akiuliza tena!
 
zitatoka leo

kwa mtu mwenye akili vizuri na anayetegemewa na taifa kama hili basi hana budi kufanya vitu kwa uhakika sasa wewe naona unaropoka tu., bila kutaja umepata wapi hizi taarifa, hujui kwamba zisipo toka kesho utakuwa umetoa taarifa za uongo katika jamii kuwa makini sana kijana na taarifa zako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom