oya mbna hamtuliii kila siku post post mnajifanya. mnaharaka nani kawaambia hazitatoka au unadhan kupiga kwako kelele humu ndo watazitoa kisa umeandika utumbo wako jiamin kila kitu kinaenda kwa mipango. kilivyo pangwa ndio kitatolewa siku hiyo hiyo sio wewe kuanza kutukana just emagine wahusika wangekuwa ndugu zako ungewatukana kuweni na adabu form 5 mtakuja na mtaichoka tu kama sisi tulivyo ichoka cha msingi tulien hamuwez kuipangia serikal ninyi wapo wengi wenye malalamiko wakisema wasikilizwe mambo mengine hayatafnyika
Wajomba eeh 2kaushe then tujikaze post zpo njian
hapna huku A level ni arts yuu labda waongeze mwaka huu cause wameongeza bwen moja yaan yako ma3 na laboratory 3
za 0 lvl
hizi kauli(wajomba)tulizikimbia facebook na tena mnaanza kuzileta huku great thinkers
Hahaha huku wote wakuu! haha aya mkuu
mkuu, ebu mtaarifuni rules of jamii forum ili apate kuelewa ili asichafue jukwaa letu
mbona mkiwa shule mnalilia likizo xaxa c ndo hio!
samahani wakuu tujulishane! kwani kwa kawaida post hutoka kwa awamu ngapi?
Hahahahaaahaaaa
Asante kwa kunijulisha karibu mbeya
ooooh asante.
Nadhan kesho nitakuwa napita kuelekea Dar
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3