Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Post za kidato cha 5

Usiwaze Sana Mkuu! Kesho Nazitangaza Rasmi Lakn Kama Umekomaana PCB, PCM Wakati Masomo Ya Art Umefanya Vizur Usishangae Utakapoona Nimekupangia HGK, HGL Na Ninajua Umetumia Gharama Kubwa Sana!
 
Usiwaze Sana Mkuu! Kesho Nazitangaza Rasmi Lakn Kama Umekomaana PCB, PCM Wakati Masomo Ya Art Umefanya Vizur Usishangae Utakapoona Nimekupangia HGK, HGL Na Ninajua Umetumia Gharama Kubwa Sana!

Teh teh teheeee Kama vipi mpangie Ushonaji na Mapishi uyo maana anakupangia muda wa kutoa post bwana.....
 
Ndugu art ni mtaji kamwe huwezi lala bila kula...ndomana sinapresha kiviile ukilinganisha na yule wa sayansi
 
Nimesema Kesho Ndio Nitazitangaza Rasmi Hivyo Jiandaeni Kwenda Kucheq

Sasa Kimbembe Kwa Waliokomaana Tuition Ya PCB Wakati Mm Nimewapangia HGK Hahahaaa! Raha Kwelikweli!

leo ndio kesho ya jana ww jomakibu
 
leo ndio kesho ya jana ww jomakibu

Niliwaambieni Kesho Nitazitangaza Rasmi Kwahiyo Nyie Kuweni Tu Na Subila Kwan Kesho Sio Mbali Saana! Maana Kunawatu Nipo Katika Hatua Za Mwisho Za Kuwabadilishia Comb Kutoka PCM Na Kuwapangia HKF Maana Nafaham Tosha Wametumia Gharama Kubwa Sana Hivyo Nataka Liwe Fundisho Kwa Wanaokuja Ili Wapatapo Matokeo Yao Wasikimbilie Kusoma Tuition Bali Wasubili Post Ili Wajue Kwanza Nimewapangia Comb Gan Ndio Waanze Kusoma Tuition


Nawasilisha Mwenye Hoja Anakaribishwa!
Nb;hata Mm Nimmoja Wenu Katika Kusubili Post
 
Ndg zang hili jambo la post c la kujoke 2napaswa kulijadil kwa kina maana kuna k2 kimejificha behind the scene....hem 2ambie bw. kama mnajua 7bu!
 
Ufaulu ni mkubwa kupita kiasi.
Shule ni chache wameshndwa waanzie wapi?
 
madogo wanaulizia kinoma yani hivi zinatoka lini au wamewasahau maana hii serikal ni changamoto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom