acha kurusha watu roho...
Post Zitatangazwa Kesho!
hapo ndio utakuwa unaongeza sio kupunguza uncle,tumechoka alafu wenzetu wanasonga mbeleUnajua ukitaka kuyamudu mazingira ya hofu kama haya ni ku assume kama yatatoka baada ya mwezi mmoja mbele hapo nadhan hapo pressure itapungua
kama nikutupoza basi tunaelekea kuganda...muda unaenda tangazeni tukasomePost Zitatangazwa Kesho!
Post Za Kidato Cha Tano Zitatangazwa Kesho
Wap Umepata Hiyo Tetesi Watu Wanasubir Kwa Hamu Sana
kama nikutupoza basi tunaelekea kuganda...muda unaenda tangazeni tukasome
Source Ya Info Mkuu
Kesho Nitazitangaza Rasm Vijana Muanze Maandalz Lakn Pia Wenye Internet Cafe Kesho Kama Kutakuwa Na Tatizo La Kukatika Umeme Waandae Generator Kabisa Maana Vijana Wangu Wanaham Sana Ya Kujua Nilikowapangia!
huyu jomakibu si ndo yule ambae alikuwa analalamika kuhusu post last week,halafu anatuambia kesho post zinatoka