Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Wana jf naomba kuuliza ni kweli Posti za Kidato cha Tano 2015 zimetoka? je nitazipata katika website gani?
 
subirini tu mpango wa mwaka huu ni kuwachagua ktk shule za kata ili msipate tabu sana kusafiri kwenda mbali. vuteni subira tu vijana tuko bize na kutangaza nia
 
Unajua ukitaka kuyamudu mazingira ya hofu kama haya ni ku assume kama yatatoka baada ya mwezi mmoja mbele hapo nadhan hapo pressure itapungua
 
Ila kwa mjibu wa taarifa zisizo na uhakika za walio wengi kwa kigezo cha kuangalia post za mwaka jana zilizotoka 18.06 wengi wetu tunasubilia tareh hiyo ijapokuwa ukiangalia mwaka jana matokeo ya 4m4 yalitoka trh 23.06 ambayo ni tofaut na mwaka huu na ndio maana ninathubutu kusema taarifa zilizopo hazina uhakika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom