Post Form Four Education ni tatizo HESLB

Post Form Four Education ni tatizo HESLB

Mkuu Hiyo Ni Kama Sheria Kwa Bodi Ya Mikopo Kuwa Fomu Zijazwe Kwa Peni Nyeusi tu!!
Na Ukibugi tu Kutumia ink ya rangi nyengine basi imekula kwako!
Kwahiyo be careful sana Katima Kutumia peni trust me.
Weee, labda kama utaratibu mpya, na tuambie imeandikwa wap habar ya kujaza kwa pen nyeusi? Mbona mim nilizikoroga kwa blue pen na nikapata mkopo, na mwaka juzi tu nilimfanyia app ndugu yangu na akasaini kwa hiyo hiyo blue pen na akapata mkopo?

Acha kutisha watu mkuu
 
Mm nimelipia mpesa 30000 lkn situmiwa sms ya kua nimekua confirmed kwny hy system so tataizo nn
 
Weee, labda kama utaratibu mpya, na tuambie imeandikwa wap habar ya kujaza kwa pen nyeusi? Mbona mim nilizikoroga kwa blue pen na nikapata mkopo, na mwaka juzi tu nilimfanyia app ndugu yangu na akasaini kwa hiyo hiyo blue pen na akapata mkopo?

Acha kutisha watu mkuu
Hata hivyo ni vyema muombaji asome maelekezo kwa umakini zaidi wakati wa kujaza na kuhakiki na baadae kujaza nakala ngumu (hard copy). Iwapo atakuta maelekezo kuhusu aina ya wino anaopaswa kutumia hana budi kutekeleza. Tusifananishe ya mwaka juzi na 2016/17
 
Mm nimelipia mpesa 30000 lkn situmiwa sms ya kua nimekua confirmed kwny hy system so tataizo nn
Umeangalia salio? Vipi kuhusu hatua ulizofuata na usahihi wa index namba ya kdt cha 4 ulizoandika? Iwapo yote umefanya kwa usahihi. PIGA HUDUMA KWA WATEJA 100 ILI KUPATA SULUHISHO LA TATIZO LAKO.
 
Habari Wana Jf, nimejaza hatua zote kwenye fomu ya Maombi ya Mkopo Heslb lakini hichi kipengele cha "Post Form Four Education" kimekuwa tatizo kubwa. Nisaidieni tafadhali
Tayari HESLB imeli shughulikia tatizo lako jaribu tena.
 
Someni maelekezo vizuri. Nini kinachohitajika katika ukamilishaji wa fomu.
Fungua website ya Heslb wameeleza hatua za kufuata hadi mwisho kutuma kwa Ems Posta na kupewa stakabadhi. Pia utoe nakala nyingine ubaki nayo. (Usiniulize kwa nini).
 
Waliopo JKT serikali iwape maelekezo wakuu wa kambi wawaruhusu kujaza fomu ya mkopo kwani takriban vijana 20,000 wapo kambini vinginevyo wakichuniwa watakosa fursa ya kuomba mkopo.
 
Kwenye ku.upload photos inaniletea uchawi kweli haikubali sijui kwann.
Wameniandika max size..ni 1MB mi nimeweka yenye 0.34 ila naona alama nyekundu.
Type ya photo wameandika ni (.jpg or .pjn)
Mi nimeweka jpg ila kuna red mark, shida nin hapa.??

Inaweza kuwa less than 1MB na bado ikagoma. Dawa ni hii; open your picture with Ms Picture Manager then click "Edit Picture" then badili resolution iwe 1500 kwa 1200 kisha gonga OK. Itapungua ukubwa kisha save changes na uitumie hii ku upload. Ikigoma niambie ila naanini ukirudi utakua unashukuru kazi kukamilika. Kazi njema!
 
Post form four education bado inazingua nimemaliza 2010 six sijui tatizo nn?
 
Back
Top Bottom