Post Form Four Education ni tatizo HESLB

Jamani sio Matokeo Mmewapigia simu kuwauliza

Daaaaah! Mkuu kwenye pc hiyo app ilileta dimension sawa ila sasa ilikuwa inabadili image type kwenda kwenye bmp..
Imenibidi nidownload app nyingine inaitwa image converter bot... Imeweza kuirudisha kwenye jpg na kuifanya iwe ndogo zaidi..
Shukran mkuu kwa kunipa mwanga
 
Nikisahau kukwambia ilikuwa ni kwenye simu kaka ni app ya kwenye simu
 
Mi nafanya mwenyewe home, Picha nimepiga kwa kutumia simu yangu ila ndo zinakataa. Picha umetoa wapi na hazijasumbua..??

sasa kwa sis ambao hatuna printer si mpka stationary au inafaa kudowload il ukaprint baada ya kujaza online?
koz m nina pc
 
ID passport photo maker kuna sehemu ni custumize size unaweka unayo taka kwa kwa kuandika ile walio kupatia
Pia unaweza kutumia Microsoft office picture manager. Unaedit picha yako (resize to 150-120)
 
sasa kwa sis ambao hatuna printer si mpka stationary au inafaa kudowload il ukaprint baada ya kujaza online?
koz m nina pc
Kuna baadhi ya vipengele utatakiwa ujaze ukiwa online.. Baada ya hapo huwezi kuidownload sbb kuna option ya kuprint moja moja, yaan unatoa document ulizojaza online moja kwa moja kwenye printer zinapita..
Ukizitia karatasi mkononi kuna vipengele vingine vya kujaza kwa mkono..
Kwaiyo anza kujaza vilengele vya mwanzo mpaka itakapokuambia print.

Then nenda stationery sabb una username yako na password.
Utafugua profile yako then utaprint mojamoja kwa huyo mtu wa stationery, wenyew wanaelewa wale
 
Kama siyo matokeo nini? Leta habari zilizokamili usaidie wengine
Nimepost mara nyingi nimesema wamesema wamewasiliana na necta wawape majina so kesho itakuwa pouwa walisema wanalishughulikia! Yaani Namba za wanafunzi hadi Matokeo???? Hao wanafunzi wamefanyaje mtihani bila kuwa registered?
 
wadau kama hamta jali niambieni kabla sijaanza application vitu gani vya msingi navyopaswa kua navyo?.shukrani
 
IDs, birth certificates, Id ya mdhamini wako, picha yake na yakwako ppsize, kama amefariki cheti cha kifo kwa mzee ni muhimu, form 4,6 index no., mengine ni kawaida tu
 
Ni ID ipi ya mdhamini inahitajika? Ama kitambulisho ya Mpiga Kura!???
 
Aaaaah mkuutarakimu nane kweeeliiii?????
Mi mbona cjaona kitu kama hicho kuwa wanahitaji tarakimu 8 mkuu??

kuhusu picha inakubali unatakiwa kuicrop picha yako au kusnipp then save katika PNG file format nadhani kwa computer is the best way
 
Yaani Bado Ninaperuzi Kila Uzi Kusoma Complications na Solutions Zake Katika Kujaza Fomu za Mkopo, Kesho Hapa Ndiyo Nikijaaliwa itakuwa Zamu Yangu Coz Hapo Kwenye Photo Namimi Ningeganda Kinoma.
 
IDs, birth certificates, Id ya mdhamini wako, picha yake na yakwako ppsize, kama amefariki cheti cha kifo kwa mzee ni muhimu, form 4,6 index no., mengine ni kawaida tu
asante mkuuu,hope vyote hivyo lazima viwe softcopy?
 
Kwenye ku.upload photos inaniletea uchawi kweli haikubali sijui kwann.
Wameniandika max size..ni 1MB mi nimeweka yenye 0.34 ila naona alama nyekundu.
Type ya photo wameandika ni (.jpg or .pjn)
Mi nimeweka jpg ila kuna red mark, shida nin hapa.??
tumia pc snip picha yako iwe saizi ya kutosha kichwa na shingo kidogo then save as PNG file format alafu upload
 
Kuna baadhi ya vipengele utatakiwa ujaze ukiwa online.. Baada ya hapo huwezi kuidownload sbb kuna option ya kuprint moja moja, yaan unatoa document ulizojaza online moja kwa moja kwenye printer zinapita..
Ukizitia karatasi mkononi kuna vipengele vingine vya kujaza kwa mkono..
Kwaiyo anza kujaza vilengele vya mwanzo mpaka itakapokuambia print.

Then nenda stationery sabb una username yako na password.
Utafugua profile yako then utaprint mojamoja kwa huyo mtu wa stationery, wenyew wanaelewa wale
ok hata kama hujamaliza kujaza sio kwamba utaanza upya ukikata
 
Back
Top Bottom