Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,802
- 2,867
Usilete mazoea mdau jaza tu na nyeusi kama wanavofanya wengineMbona mwaka jna tumetumia pen ya blue au nyeusi sahizi wamebadirisha?
Usilete mazoea mdau jaza tu na nyeusi kama wanavofanya wengineMbona mwaka jna tumetumia pen ya blue au nyeusi sahizi wamebadirisha?
Sijaona hata wanapo elekeza hivyo mkuuUsilete mazoea mdau jaza tu na nyeusi kama wanavofanya wengine
Hicho kipengele lazima uconfirm! Picha tafuta ID passport maker utaweza kutengeneza picha kiurahisiNi Nani kati yetu ameshaprint fomu? Picha ni shida bado... Halafu kipengele cha Post Form Four Education leo naona nimekiruka, kwenye ku-confirm information ndo nimekatwa na Picha tu... Nisaidieni tafadhali
Mm bado kimebaki hicho kipengele cha Post Form Fourambaye amekamilisha online aje atujuze
je kashaprint
Kipengele gani mkuuEmbu jaribu ku-confirm information kwenye kipengele cha mwisho uone inakuwaje ndugu
" kwenye ku-confirm information ndo nimekatwa na Picha tu..." Hapo una maanisha nini, sijakuelewa mkuu?Ni Nani kati yetu ameshaprint fomu? Picha ni shida bado... Halafu kipengele cha Post Form Four Education leo naona nimekiruka, kwenye ku-confirm information ndo nimekatwa na Picha tu... Nisaidieni tafadhali
Ndio utaanza ku confirm details zakoUkimaliza kwenye kipengele cha Primary education, si ndio mwisho? Hapo
kwa hyo ndugu yangu ushamaliza na je n form six lever wa mwaka gani?Ndio utaanza ku confirm details zako
Sijamaliza nasubiri hiyo ya Form sixkwa hyo ndugu yangu ushamaliza na je n form six lever wa mwaka gani?
kwa hiyo mlivyo wapgia wamesemaje?Sijamaliza nasubiri hiyo ya Form six