Post Form Four Education ni tatizo HESLB

ok hata kama hujamaliza kujaza sio kwamba utaanza upya ukikata
Huwezi anza upya sbb utakuwa ni km umelog out tu. Ila hiyo ni baada ya kupata username yako na password..

One step at a time.

Jaza kwanza maswala ya kuprint na kutuma ni baadae sana.

Jaza softcopy-print-jaza hardcopy kwa pen nyeusi tu- tafuta sahihi na mihuri yote inayohitajika-kacertify vyeti kwa mawakili au mahakaman-ambatanisha copy zenye mihuri toka kwa wakili-katume post kwa ems
 
Jaman nisaidien kn Mdogo wangu ali reseat 4m 4 alaf akafanya la cx mwaka jana atatmia index number zipi au atajazaje hyo form?
 
kinachohitajika ktk hivyo ni id

una records number tu, then mwish wa siku unaambatanisha na form zako kuzituma posta zikiwa zimegongwa mihuri ya mahkama etc.
Mkuu hii birth certificate ni lazima sana maan yangu iliunguaga so inabidi nifanye mwengine wa mpya au sio muhimu san? Na vp kuhusu sisi wa diploma hapo kwenye matokeo au kuna form tofauti maan mtihani bado hatujafanya bado? kama hutojali nisaidie kwa majibu hyo mkuu.ahsanteh
 
Vp wakuu hawajarekebisha tu kwenye guarantor details ili tuaplod photo?
 
Huwezi anza upya sbb utakuwa ni km umelog out tu. Ila hiyo ni baada ya kupata username yako na password..

One step at a time.

Jaza kwanza maswala ya kuprint na kutuma ni baadae sana.

Jaza softcopy-print-jaza hardcopy kwa pen nyeusi tu- tafuta sahihi na mihuri yote inayohitajika-kacertify vyeti kwa mawakili au mahakaman-ambatanisha copy zenye mihuri toka kwa wakili-katume post kwa ems
Ndugu, ni maelekezo kuwa fomu inapaswa kujazwa kwa peni nyeusi tu?
 
ndugu
vip hilo tatizo la "post form four"wameshalirekebsha?
 
Naona Bado hawajarekebisha ila kwa uhakika zaidi unaweza kupiga ile namba yao wanapokea bila shida!
 
Hapo mpaka next week kwa maelezo ya dawati la msaasa HESLB kwani unaonekana umemaliza F6 2016 na matokeo ya F6 2016 Bado hayajatoka. Ndo maana unakutana na error inayo kuambia wrong index number kwa sababu bado tokeo la F6 alijatoka. Kwa hio wana li shughulikia hili tatizo sasa na wadai kuwa wiki ijayo mambo yatakuwa tayari.
**********Vuta Subira****************
 
Ndugu, ni maelekezo kuwa fomu inapaswa kujazwa kwa peni nyeusi tu?
Mkuu Hiyo Ni Kama Sheria Kwa Bodi Ya Mikopo Kuwa Fomu Zijazwe Kwa Peni Nyeusi tu!!
Na Ukibugi tu Kutumia ink ya rangi nyengine basi imekula kwako!
Kwahiyo be careful sana Katima Kutumia peni trust me.
 
Hapo mpaka next week kwa maelezo ya dawati la msaasa HESLB kwani unaonekana umemaliza F6 2016 na matokeo ya F6 2016 Bado hayajatoka. Ndo maana unakutana na error inayo kuambia wrong index number kwa sababu bado tokeo la F6 alijatoka. Kwa hio wana li shughulikia hili tatizo sasa na wadai kuwa wiki ijayo mambo yatakuwa tayari.
**********Vuta Subira****************
Duh Wiki ijayo!! Aisee...
 
Waliopo jkt wataombaje? mtu mwingine anaweza kuomba kwa niaba yake kama particular zake unazo? ie mzazi
 
Hapo mpaka next week kwa maelezo ya dawati la msaasa HESLB kwani unaonekana umemaliza F6 2016 na matokeo ya F6 2016 Bado hayajatoka. Ndo maana unakutana na error inayo kuambia wrong index number kwa sababu bado tokeo la F6 alijatoka. Kwa hio wana li shughulikia hili tatizo sasa na wadai kuwa wiki ijayo mambo yatakuwa tayari.
**********Vuta Subira****************

Waliomaliza F6 mwaka 2016 kwa maana hiyo wasubiri mpaka wiki ijayo?
 
Wamekurupuka kuruhusu application ilihali hawajaimarisha system yao
 
system yao hiko sawa tu kwa walio maliza 2015 kurudi nyuma, in fact wame iboresha system yao na kuwa so sensitive ndo maana ina kataa, sio kama miaka ya nyuma.
 
Mkuu Hiyo Ni Kama Sheria Kwa Bodi Ya Mikopo Kuwa Fomu Zijazwe Kwa Peni Nyeusi tu!!
Na Ukibugi tu Kutumia ink ya rangi nyengine basi imekula kwako!
Kwahiyo be careful sana Katima Kutumia peni trust me.
Mbona mwaka jna tumetumia pen ya blue au nyeusi sahizi wamebadirisha?
 
Back
Top Bottom