Just a millitary balloon! so the US gvt says. mbona walikataa waandishi wapige picha if it was "just a millitary balloon". mbona eye witnesses walisema waliona miili ikitolewa, imebebwa in plastic bags. And an eyewitness said kuna mwanajeshi alimwambia "you never saw anything, you hear?".Roswell incident ingawa ni issue ya kweli lakini si kwamba ilikuwa ni unidentified flying object bali military balloon katika harakati za kuchunguzana wakati wa cold war.
Just a millitary balloon! so the US gvt says. mbona walikataa waandishi wapige picha if it was "just a millitary balloon". mbona eye witnesses walisema waliona miili ikitolewa, imebebwa in plastic bags. And an eyewitness said kuna mwanajeshi alimwambia "you never saw anything, you hear?".
LOL I'm not purporting that it was an allien "plane crush", I dont want to get carried away with these things. Lakini the fact that waandishi walipigwa marufuku kusogea pale gets me curious. Au hawakutaka mataifa mengine yaone technology yao wamarekani)!! I dont know.
OMG I just gave it a quick google. Nimekutana na hii;
" Roswell has been
called "the world's most famous,
most exhaustively investigated, and
most thoroughly debunked UFO
claim".
Habari ya Rosswell niliangaliaga zamani kwenye NatGeo na History Channel.
Haya mambo usipotulia ukatafiti utakaa na imani za ajabu sana.
hapo nilipo ku quote nakuomba unipe maelezo vizuri cjakupata vyema mkuu,
Natanguliza shukrani mkuu
.made in mby city.
Nimekupata mkuu Monstgala/Mgalanjuka
Mkuu kuna ukweli usiopingika ulimwenguni kote kuwa "we think different"
Sasa mkuu inawezekana law za physics tunazo apply katika maisha ya kila siku zikawa tofauti kabisa na law zitumiwazo na viumbe waishio anga za mbali?
Nimeuliza hivi kwa sababu sina uhakika kama kuna akina NEWTON, EINSTEIN, GALILEO, DA VINCI n.k. Huko space
Inawezekana wapo lakini wakawa na maBONGO yenye nguvu sana, tatizo linaloniletea mkanganyiko ni juu ya sheria za kifizikia kua au kutokua sawa
.made in mby city.
Kanuni za kifizikia zinatarajiwa kufanana katika ulimwengu mzima kama tunabase kwenye thermodynamics..
Mbona unatumia neno OMG? Why?OMG I just gave it a quick google. Nimekutana na hii;
" Roswell has been
called "the world's most famous,
most exhaustively investigated, and
most thoroughly debunked UFO
claim".
Habari ya Rosswell niliangaliaga zamani kwenye NatGeo na History Channel.
Haya mambo usipotulia ukatafiti utakaa na imani za ajabu sana.
I'm not sure where you are coming from so sijui nikujibuje!!Mbona unatumia neno OMG? Why?
I'm not sure where you are coming from so sijui nikujibuje!!
Oh My Goodness!!! Nilikuwa naonyesha mshtuko. Au ningesema "Exclamation!!"
Na nilijua tu utashupalia "God" na "god" badala ya kujibu hoja, kwa sababu huna hoja.
Nilishawahi kusema kuwa bilievers can not manage any intellectual argument, because, most of them are not intelligent.
Sorry, so long!!
" Nilijua Tu..." Wewe ndiye unahoji uwepo wa Mungu ? Hujijui Tu ! Wewe ndiye Mungu. Kama unsuwezo wa kujua nini MTU mwingine anawaza kabla hajaweka mawazo yake wazi. Pre science: wewe ni noma
Kanuni za kifizikia zinatarajiwa kufanana katika ulimwengu mzima kama tunabase kwenye thermodynamics. Lakini kanuni hizi ndizo zinafanya mazingira kufanana au kutofanana. Katika multiverse theories huko kuna concepts juu ya "universes" zenye set tofauti za kanuni na hili ni eneo lingine la utafiti. Huku kuna ugumu zaidi hata kwa kufikiri katika kawaida lakini linasomwa sana kipindi hiki.
Hello mkuu, NICOLAX nimeitikia wito wako. 🙂
Mkuu Monstgala/Mgalanjuka kwanza ahsante kwa kuja,
Mkuu, naamini huu uzi ndio utakao saidia kujibu maswali mengi yanayo husiana na possible intelligence out there
Nategemea mchango wako na wadau mbalimbali hapa jukwaa
Naomba uniwie radhi kwa usumbufu wowote ninaokupatia
Nakuomba mkuu utuletee lile bango kutoka kule UFO and ALIENS ili tujadili kwa mapana zaidi na ukiongeza chochote ujuacho kuhusu haya mambo
Naomba uniwie radhi kwa kutafuna muda wako
.made in mby city.
Mbona kama ndiyo hivyo "mamungu" watakuwa ni wengi sana, kama tu kuguess atakachosema mtu tayari wewe ni Mungu basi ni shida!!" Nilijua Tu..." Wewe ndiye unahoji uwepo wa Mungu ? Hujijui Tu ! Wewe ndiye Mungu. Kama unsuwezo wa kujua nini MTU mwingine anawaza kabla hajaweka mawazo yake wazi. Pre science: wewe ni noma