Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

Semina mnalipwa na kazi ya sensa mnalipwa kwaiyo kila mtu Takunja 600k+ ngazi ya chini wale wengine 800k+
 
Semina mnalipwa na kazi ya sensa mnalipwa kwaiyo kila mtu Takunja 600k+ ngazi ya chini wale wengine 800k+
Inatumia muda gani sensa. Nataka nifanye application mkoani labda competition sio kubwa zaidi ya hapa, I bet seminar itaanza nishamaliza chuo pale July tarehe za mwanzo. Ikianza before hapo nishafeli
 
Inatumia muda gani sensa. Nataka nifanye application mkoani labda competition sio kubwa zaidi ya hapa, I bet seminar itaanza nishamaliza chuo pale July tarehe za mwanzo. Ikianza before hapo nishafeli
Application fanya mapema hii kiongozi
 
Application fanya mapema hii kiongozi
Nishafeli siwezi kuituma mkoani ni almost kule sijuani na watu. Kwanza sina cheti cha form 6 wala chuo, nilitaka niscan matokeo hata ya last semester ila najua wakifanya mchujo wananitema mapema kwa kutotimiza vigezo. Nilitaka usimamizi
 
Bado hujafeli... Wanachohitaji ni cheti cha kuzaliwa, form four na passport yako... Cha ziada ni cheti chochote cha taaluma
 
Hakunaga intavyuu, nilipata hii 2012 bila koneksheni…. japo kuna waliotumia kujuana ila mfumo wa maombi haikuwa sawa na huu.

Tulijaza fomu na kuzipeleka halmashauri.
Mwaka huu kuna interview acha kukariri mambo
 
Wakuu,salaam,.
Hii ya kuhesabu sensa nasikia Ina hela ya kusogeza maisha.

Natamani kujua ni kama Tsh. ngapi kwa kazi nzima ili nichangamkie au nipotezee.
Hela naitamani ila ndio sijajua kama hii shuguli inalipa.

Kwa mliowahi kuifanya, naomba dokezo tuu ni kama Tsh. ngapi kwa zoezi zima?
Malipo sio chini ya 595,000 kwa makalani.
 
Lete maneno - Jakay Mrisho Khlafan wa Msoga

1E3765DD-1677-4D53-893E-C7A9337AC14E.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom