Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

Interview yake inasimamiwa na watu na siyo mfumo. Hivyo swala la vimemo, kamlete, nitumie vyeti vyako na connection hayakwepeki

Hakunaga intavyuu, nilipata hii 2012 bila koneksheni…. japo kuna waliotumia kujuana ila mfumo wa maombi haikuwa sawa na huu.

Tulijaza fomu na kuzipeleka halmashauri.
 
Hahaaaa kweli unachekesha ajira za walimu na afya kuna watu washaanza kujiandaa kwenda kazini ww baki kusema ni mfumo hakuna connection wakati mfumo wenyewe sio automatic lazima uendeshe na mtu

Sio kweli, ni vile mmeshaamini kwenye urasimu kwa kila kitu.
 
Hakunaga intavyuu, nilipata hii 2012 bila koneksheni…. japo kuna waliotumia kujuana ila mfumo wa maombi haikuwa sawa na huu.

Tulijaza fomu na kuzipeleka halmashauri.
Mbona nasikia ile ya 2012 palikua na mtihani baada ya mafunzo na Alie feli alitemwa Yani ilikua Kama intavyuu ?nipe uzoefu
 
Navipi hizo dodoso Yani fupi na refu wasimamizi wake wanachaguliweje?
Kipindi kile ulikuwa unaomba mwenyewe kama unataka dodoso lefu au fupi,hata kiwango cha posho ya semina na siku pia zilikuwa tofauti,kazi ilikuwa kubwa sana kwa wenye Dodoso lefu mana mtahesa kila kitu kwenye kaya husika kuanzia kuku,bata ,mbuzi,kondoo,nguruwe etc..kazi kubwa ilikuwa kwenye kusiliba lile dodoso na penseli..hope mwaka huu watakuwa kidigitali zaidi.
 
Dàah ilikua amsha kweli Sasa sijui mwaka huu watatumia utaratibu gani kuwapata wa Hilo refu au Hilo fupi
 
Hahaaaa kweli unachekesha ajira za walimu na afya kuna watu washaanza kujiandaa kwenda kazini ww baki kusema ni mfumo hakuna connection wakati mfumo wenyewe sio automatic lazima uendeshe na mtu
Mmm mtu ajiandae kwenda kazini wakti dirisha limefungwa Jana, connection nyingine Ni utaperi mtupu
 
Mbona nasikia ile ya 2012 palikua na mtihani baada ya mafunzo na Alie feli alitemwa Yani ilikua Kama intavyuu ?nipe uzoefu

Mtihani baada ya mafunzo ni kweli, lakini huwezi kuita ni intavyuu ile….. hiyo ni kupima uelewa tu wa kile mlichojifunza kwenye semina.

Namna ya ku-code na kushedi [kusiliba] dodoso, namna ya kujaza fomu na kuripoti…. mtu anayeshindwa hivi ni yule ambaye hana akili kabisa na inatia mashaka aliingiaje.
 
Siwajui mkuu Hebu nijuze ni akina nani hao nicheze nao mapema
Tafuta mtu halimashauri

Maana baada ya kua apply kwenye mkoa na wilaya yako kuna kamati itaundwa na hiyo kamati kuna watumishi kutoka halimashauri kuwachambua sasa kwenye kuwachambua

Ndio utaskia mtu anapigiwa oyaa nitumie jina na vyeti vyako Fasta

We unadhani watakao pata kazi hiyo ni wote wame apply online wakapitia screening ? Jibu ni big No
 
Na sio kazi hii HATA ZILE ZA UTUMISHI, we ushangai majina mengine yanatoka KANZI DATA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom