Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 57
na wewe weka siasa kando
ikiwa mishahara yao ni mikubwa kiasi hicho posho ya nini?
ACHA KUTUMIA MAKALIO KUANALYSE WEWE TUMIA CEREBERUM NA MeDULA
hilo sio tusi kama vipi mwone ModHuwez kutoa comment mpaka utukane???
huwez kutoa comment mpaka utukane???
Ila katika hali ya kawaida, inawezekana kweli kwa mbunge au mfanyakazi yeyote wa serikali au wa makampuni binafsi kutoka nje ya kituo chake cha kazi for official duties bila ya kulipwa posho??? Kuwa muwazi weka siasa kando
Yes, wabunge wanawalipa wenyewe madereva wao
Naibu Spika Job Ndugai, amewaambiwa wabunge wa kambi ya upinzani wanaosema posho za wabunge ziondelewe waonyeshe mfano kwa kuiandikia ofisi ya bunge (Spika) kuomba kuondolewa posho zao na wao wataziondoa haraka>
Amesema kitendo cha wabunge hao kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa kuhusu kuondolewa kwa posho hizo hakina tija na wanapaswa kuongoza kwa mfano kwa kuandika barua kwa spika ili posho zao zianze kuondolewa kwanza.
Source: TBC 1 asubuhi hii, kipindi cha Jambo Tanzania.
ANAKULA 40,000/= KWA SIKU DU??HUYU MUISLAM NI SOO,HII SI NI BEI YA MBUZI MKUBWA BEBERU NA KRET MBILI ZA KILIMANJARO,NA MAJI KATON MOJA KWELI JAMAA YUKO JUU
ANAMPA DEREVA WAKE 30,000/= PER DAY MAANA YAKE JAMAA ANATENGENEZA
30,000 X 30=900,000/=
SASA BUNGE HILI N LA MIEZI MITATU
900,000 X 3=2,700,000/=
MSHAHARA WA DEREVA SH 900,000/= KWA MWEZI HAIWEZEKANI
SI KWELI HUYU MPEMBA ANADANGANYA UMMA
mnafki tuu hana lolote
Okey, Na hiyo posho hapo juu ni sawa??, kwa siku au figa yangu mbovu??
Ila katika hali ya kawaida, inawezekana kweli kwa mbunge au mfanyakazi yeyote wa serikali au wa makampuni binafsi kutoka nje ya kituo chake cha kazi for official duties bila ya kulipwa posho??? Kuwa muwazi weka siasa kando
TBC muda huu Kuna mahojiano,
Mh Ndugai Kaulizwa swali kuhusu kupunguziwa posho zao kashindwa kutoa jibu na msimamo wake
Na Mh. Hamad Rashid wa CUF yeye kasema posho analipwa 150,000 analala hotel shiling 80,000 Anamlipa dereva wake sh 30,000/= na kula elf 40,000/= na kumaliza kwa kusema kuwa haoni kama kuna hela inabaki hapo,
Swali langu ni, Hivi dereva wa mmbunge analipwa na Mbunge??,
Hivi wabunge wanalipwa shilingi ngapi kama posho??, coz hiyo figa nanikumbuka na ni ya kitambo, nikosoeni kama nimekosea, nielimisheni inapowezekana!
Na Mh. Hamad Rashid wa CUF yeye kasema posho analipwa 150,000 analala hotel shiling 80,000 Anamlipa dereva wake sh 30,000/= na kula elf 40,000/= na kumaliza kwa kusema kuwa haoni kama kuna hela inabaki hapo,
Jameni, mbona Mh. Hamad hakutoa mchanganuo wa dereva wake? Posho anayomlipa ni ndogo kulinganisha na pesa anayotumia kwa chakula tu. Yeye anatumia ngapi kwenye kulala, kula na kuitumia familia yake huko kwao? Nadhani viongoz wetu wanadhan wao ndo wana haki ya kupata hivyo wanavyopata.
Hata hivyo, upinzani umetoa mawazo yao tu. Kama wangekuwa wao wanaandaa bajeti kwa ajili ya watanzania wangewafanyia nini. Sasa kuanza kuona mjadala ya kupinga mawazo yao na mapendekezo mimi nashangaa kabisa. Kwa kweli mimi sioni hata maana ya wabunge kulipwa mishahara, kwangu mimi ubunge sio fani ya mtu kujivunia hadi kustahili kupata mshahara. Ndo mana rushwa kwenye uchaguzi zinazidi kuongezeka kwani watu hufuata maslahi badala ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Its good because we now begin to know true colours of our leaders. Hawako tayari kupunguziwa maslahi yao kwa ajili ya kuwaletea wananchi ustawi ambao walijinadi kuwa wataupigania. Kiama chao kinakuja kwani 2015 sio mbali kama wanavyodhani.
Swali lipo pale pale. Kama wao TShs 80,000 hazitoshi, zianatoshaje kwa wafanyakazi wa nchi hii ambao wanapewa kiwango hicho?
kazi ipo mwaka huu yani kwa siku 150000 kwahiyo mbunge mmoja hadi kikao kikiisha atakuwa kashalamba mshahara wa mwalimu wa ngazi ya cheti au constable wa polisi wa miaka takribani mitatu hivi,jamani hii hali ni mbaya kwani hizo millioni 7 hazitoshi kuishi,mbona wafanyakazi wengine wanalipwa 150000 kwa mwezi na ndio mpango mzima.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Sekulu:- Huyo dereva wa Mbunge analipwa 30,000/= kwa siku wakati vikao vinapoendelea au muda wote mpaka mheshimiwa atakapotimuliwa au kuangushwa katika uchaguzi???????????????????????