...............
Alipohojiwa kwanini wasianze wabunge wote kama kweli anakubaliana na Zitto, jibu lake likawa ni kwa sababu shida za wabunge zinatofautiana, na kwa wabunge wengi kama yeye wanatumia pesa hizo kuwasaidia wapiga kura wao kila wanapotembelea majimbo yao.
My take: JE PESA ZILIZOTENGWA ZA MFUKO WA JIMBO ZINAFANYA KAZI GANI NDUGU CHILIGATI??????:
I think Chiligati had a slip of the tongue, if he denies, then he needs to admit that is in the wrong post.Mmmh! ama kweli kuna kazi kwa CCM kujivua Gamba. Nilikuwa nasikiliza Clouds Radio sasa hivi na nikasikia mahojiano kati ya Mtangazaji wa Clouds na Naibu Katibu Mkuu wa CCM JOhn (Tukokati) Chiligati kuhusiana na Kauli ya Zitto Kabwe juu ya kuondoa posho mbalimbali zikiwemo za vikao vya wabunge wanapokuwa Bungeni.
Sikuamini masikio yangu Chiligati aliposema kuwa anakubaliana na Zitto juu ya kauli hiyo, ila anashauri utekelezaji wake usianze mara moja kwa wabunge wote.
Anapendekeza kuwa utekelezaji wake uanze kwa wabunge wa CHADEMA, mpango huo ukifanikiwa ndipo na wabunge wengine watafuata.
Alipohojiwa kwanini wasianze wabunge wote kama kweli anakubaliana na Zitto, jibu lake likawa ni kwa sababu shida za wabunge zinatofautiana, na kwa wabunge wengi kama yeye wanatumia pesa hizo kuwasaidia wapiga kura wao kila wanapotembelea majimbo yao.
My take: JE PESA ZILIZOTENGWA ZA MFUKO WA JIMBO ZINAFANYA KAZI GANI NDUGU CHILIGATI??????:
Mmmh! ama kweli kuna kazi kwa CCM kujivua Gamba. Nilikuwa nasikiliza Clouds Radio sasa hivi na nikasikia mahojiano kati ya Mtangazaji wa Clouds na Naibu Katibu Mkuu wa CCM JOhn (Tukokati) Chiligati kuhusiana na Kauli ya Zitto Kabwe juu ya kuondoa posho mbalimbali zikiwemo za vikao vya wabunge wanapokuwa Bungeni.
Sikuamini masikio yangu Chiligati aliposema kuwa anakubaliana na Zitto juu ya kauli hiyo, ila anashauri utekelezaji wake usianze mara moja kwa wabunge wote.
Anapendekeza kuwa utekelezaji wake uanze kwa wabunge wa CHADEMA, mpango huo ukifanikiwa ndipo na wabunge wengine watafuata.
Alipohojiwa kwanini wasianze wabunge wote kama kweli anakubaliana na Zitto, jibu lake likawa ni kwa sababu shida za wabunge zinatofautiana, na kwa wabunge wengi kama yeye wanatumia pesa hizo kuwasaidia wapiga kura wao kila wanapotembelea majimbo yao.
My take: JE PESA ZILIZOTENGWA ZA MFUKO WA JIMBO ZINAFANYA KAZI GANI NDUGU CHILIGATI??????:
TBC muda huu Kuna mahojiano,
Mh Ndugai Kaulizwa swali kuhusu kupunguziwa posho zao kashindwa kutoa jibu na msimamo wake
Na Mh. Hamad Rashid wa CUF yeye kasema posho analipwa 150,000 analala hotel shiling 80,000 Anamlipa dereva wake sh 30,000/= na kula elf 40,000/= na kumaliza kwa kusema kuwa haoni kama kuna hela inabaki hapo,
Swali langu ni, Hivi dereva wa mmbunge analipwa na Mbunge??,
Hivi wabunge wanalipwa shilingi ngapi kama posho??, coz hiyo figa nanikumbuka na ni ya kitambo, nikosoeni kama nimekosea, nielimisheni inapowezekana!

mpuuzi mkubwa huyu Ndugai
anatumia makalio kuanalyse
Hapa wapinzani wanataka mfumo urekebishwe ili kujaribu kuleta usawa na si kugomea posho.
Wapinzani wanazungumzia MFUMO kugomea posho/mishahara hakutasaidia chochote.

Ila katika hali ya kawaida, inawezekana kweli kwa mbunge au mfanyakazi yeyote wa serikali au wa makampuni binafsi kutoka nje ya kituo chake cha kazi for official duties bila ya kulipwa posho??? Kuwa muwazi weka siasa kando
Yes, wabunge wanawalipa wenyewe madereva wao
na wewe weka siasa kandoIla katika hali ya kawaida, inawezekana kweli kwa mbunge au mfanyakazi yeyote wa serikali au wa makampuni binafsi kutoka nje ya kituo chake cha kazi for official duties bila ya kulipwa posho??? Kuwa muwazi weka siasa kando