Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Huyohuyo Mheshimiwa akienda wrong anakuwa mdharauliwaNeno ndugu lina uzito sana, na kama alivyosema, ndugu hapo juu, mheshimiwa kinyume chake ni mdharauliwa. Nani mdharauliwa sasa?
inaondoa matabaka yasiyo ya lazima. Nimekujibu?Kuitana mhe.au ndugu ina tija gani kwa taifa?
Kuitana mhe.au ndugu ina tija gani kwa taifa?
haina tija yeyote ila ni namna moja ya kujipendekeza kwa wapenda mijisifa ubwanyenye,etc.Muheshimiwa,baron,mustahiki,earl,first lady,prince,sahib,sultan,lord,sir, monsieur,count,duke,baroness,etc are social titles.Napoleon Bonaparte once said men adore titles(hata kama kimsingi haina tija).kujumuisha napendekeza honorific titles kwa viongozi wetu upinzani.Sijui hii imekaa vipi?Grand Duke SlaaEarl of kigoma Zitto Kabwe.Baroness Halima MdeeCount LissuEsquire Lyatonga Mrema. Unakumbuka titleLast king Scotland,conquerer of British Empire ?Kuitana mhe.au ndugu ina tija gani kwa taifa?
big up ndugu, kumbuka juzijuzi kuna mwanajamii mmoja alisema kuwa, kama kuna WAHESHIMIWA basi automatically kuna WADHARAULIWA
ni jambo la msingi na hilo