Posho na Mishahara ya wabunge...

ni wapi hapo, hata hivyo kuna sehemu nyingine hali ni mbaya zaidi ya hii unayoiona hapa. picha zao zipo hata hapa jamvini zilikwishawekwa.
 
waambieni wanawajaza w2 gesi kumbe wenyewe wakipewa pesa wanasahau kuwa watu walipigana na kuksha kwa ajili wao bora ujue unaibiwa kuliko kuibiwa kinafki,,,,,,
 
Mtaandamana kila siku mpaka mfe, kibano pale pale.

Hamuwajui CCM nyie kumbe!!!

Mbona tunawajuwa CCM kuwa ndio Mafisadi wanaoifilisi hii nchi au wewe ni mmoja wao? Nepi anakulipa kiasi gani mpaka uadhirike namna hiyo?
 
Hapo nahisi itakuwa kijiji cha MBEKENJELA, NACHINGWEA - LINDI
 

Nyinyi ni akina nani mnaoandaa maandamano? hapo sijaelewa vizuri naomba kueleweshwa. ni posho za wabunge au posho za kikwete?
 
Hapo ni kigoma, picha hii iko humu janvini siku nyingi, tafuta kwenye jamii photoes.
 
Hawana hoja, kwao maandamano imekuwa fashion. Kuandamana ni njia moja ya kuonyesha hisia na kupeleka ujumbe. Jee hao wanaofanyiwa hayo maandamano wanajali? Tafuteni njia nyengine wana CDM lakini kwa mtaji huo, mnajichokesha wenyewe. Kumbe hamuwajui CCM nyie?
 
mpaka bunge la bajeti linamalizika tutakuwa tumekamuliwa sitting allowance kwa wabunge wote kama billion 50 takribani, this is unacceptable, seriously! kwa nchi maskini kama hii, no way.......
 
tofauti yenu na hizi nchi nyie ni Wakirito
 
wapumbavu wenu wa kila cku watawasupport but watu wenye akili zetu hatuwezi kuyumbishwa maisha yetu na nyie wanasiasa.
 
Wewe acha porojo mnataka tu kugawana pesa zetu (Ruzuku) maandamano sababu ya posho tu mbona wabunge wenu wamechukuwa milioni 90 juzi mbona mlikuwa kimya
sisi wananchi tunawashangaa sana
Porojo inayo serikali yako ya CCM iliyojaa dhuruma kwa wananchi,ANGUKO LENU LIMEFIKA CCM
 
Tunayasubiri kwa hamu mana Serikali ya CCM IMEJAA DHURUMA
 
Hivi nyie hamna kazi?


Kazi ziko wapi wakati mmegawiana wenyewe Mafisadi?!! ndio tunataka kulianzisha mbelle kwa mbele mpk kieleweke..na hizo kazi tugawane na sisi tufurahie keki ya taifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…