Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
kila siku ninapoint. Labda hupendezewi
Soma vizuri post yangu, itafakari na uielewe. Rudia hata mara mia. Post hii ni msaada kwa chama chetu, cdm.Leo mtakuwa wapi na Nape?...huu ni msimu wa viwavi mashambani,jamani wakulima tujiadhari!
mambo ya kulitaka kulistaki kanisa kwa kula rasilimali zetu
Tangu uchaguzi hadi leo tumeshuhudia mengi hadi tunashindwa kushika lipi. Tuacheni sasa akili zetu zitulie tufikirie na kuchambua bajeti
Bunge likiwa katika harakati za kutaja bajeti yake...kuna maoni tofauti juu ya malipo ya posho kwa wabunge yaan"sitting allowance"..mbunge wa kigoma kaskazini ndugu zitto kabwe alieza kuwa ni kwa kiasi gani serikali inavyoingia athara ya takriban bilion900 kwa kuwalipa wabunge hao na akisaidia na Mbowe katika kuelezea swala hilo ingawa kuna baadhi ya wabunge wanaweka magogo juu ya hoja hiyo naye waziri wa fedha na uchumi asubiri hoja hiyo ifikishwe bungeni....Mbowe alisema kuwa "mfano mimi ni mjumbe wa kamati ya bunge nasaini 'sitting allowance' katika kikao cha bunge,nikiitwa katka kikao cha kamati ya uongozi nasaini tena sitting allowance na hata kama nikiitwa tena jioni naweza kulipwa sasa kama si wizi ni nini.......jamani wabunge tuamke tusijirudishe kwenye enz za jiima na wananchi mtakiwa kuwa macho
kanisa kula mali za watz?
Hivi wewe milembe umetoka lini?me naungana na ww kaka huyu zitto ni mnafiki wa cdm mbona kuna pesa gari na kiwanja cha ufukweni alihongwa na thithiem ameshindwa kusema vipelekwe jimboni?wajinga wenzie wa cdm ndo ataendelea kuwa fitini lkn sisi wengine tunaojua data zake tunamwangalia.in short anatafuta umaarufu kupitia hizo posho km kawaida yake.