Pornography?

Pornography?

Simplicity mambo ya ngoswe kuitwa ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe
 
hahahahahaha.....hii hata mimi na moyo wangu mgumu ntazinduka siku ya tatu...

Haaaa yalimkuta it mmoja pale kijiweni akaja kwangu mbio anataka ushauri ..., nikamwambia mtengenezee kamera yake tena mpe na sahau as haujaona kitu.
 
Bothi wako kathi yake ni kuangalia chafu chafu eeee... hafanyi kathi

by the way hiyo ni privacy yake, sioni sabubu ya kumtangaza, sasa J4 jiandae kuenda kuchukua barua yako ya Stop!..
 
Kama inakamata keywords zilizopo kwenye file mkuu mbona kuna probability ya 50% kua haikua movie ya ngono maana file mtu anaweza akaandika hata xxx labda kama hiyo haipo kwenye keyword yako, kwani ukiita file ambalo linahusika na data za waangalia porn umri flani hadi flani si anaweza akalipa title ya porn afu ngoma ikaleta message hiyohiyo tu
 
au unakuta unaambiwa upeleke representation kwa njia ya flash,umedelete kila kitu ila ye akiweka kwenye computer bado unashtuka kama kuna kitu imesahaulika

lovito we acha tu...kuna hiyo njia yaa kuname ma file umeisema

na mie naifanyaga..lakin kuna wengine hawakatagi tamaa atafungua tu

ajue hilo empty ni empty kweli
 
lovito we acha tu...kuna hiyo njia yaa kuname ma file umeisema

na mie naifanyaga..lakin kuna wengine hawakatagi tamaa atafungua tu

ajue hilo empty ni empty kweli
Lovito hapo ndo ishu,na ukilock file kwa password unamfanya mtu asikuamini,itabidi tuwe wakweli tu lovito
 
Mkuu Simplicity hapo ndo palikua pa kuanzia, vinginevyo wewe ni jinsia moja na boss.
 
Last edited by a moderator:
Lovito hapo ndo ishu,na ukilock file kwa password unamfanya mtu asikuamini,itabidi tuwe wakweli tu lovito

ukikutana na watu ka kina simplicity mbona na thread unaanzishiwa...ila lovito

inaonekana wewe ni mtaalam sana..kuna hiyo moja nimeiona sijui virus detected refresh ....umenichekesha sana
 
Picha ya uchi tu ya kawaida au video ya uchi ya mtu haiwezi kufunguliwa, inafungua video baada ya kudetect inatoka porn site. Nimeweka ili kujihami na threats: Why is porn associated with computer viruses? - Yahoo! Answers

Google tu kidogo uone jinsi porn zilivyo harmful kwa computer, sikubali kupoteza data zangu kwa sababu ya ujinga wenu!

Kwa ethics za kazi na imani yake hakutakiwa kuwa na hizo videos.


Hiyo ilikuwa kazi yake binafsi nilikuwa namsaidia sio ya ofisi, kwanza sikutegemea kama angekuwa nazo.

Tupe faida na hasara ya pornography evidenced by research, sio wewe unajiandikia tu. Basi na nyie muwe smart basi, maana mnabeba video za ngono utadhani maandazi.
Kwenye Green nimekuelewa!
Kwenye red kwa namna tunavyoheshimiana hukupaswa kuniunganisha huko kwani hakuna mahali nimeonyesha nami naziangalia au ni mnufaika wala kuwatetea watu si kuwa wanakuhusu!
kwenye blue nakushauri usivunje utaratibu kisa yeye kavunja maana anayekuwa wa mwisho kuvunja ndio sisi tunamwangalia!
Kwenye yellow mimi lawama kubwa nimekurushia baada ya kuona ulimfanyia kusudi na nukuu "Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".

Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka."

Ehm jitasimini mwenyewe Mkuu kwa maneno yako hayo ambayo si mimi ni meyasema ila wewe!
Kwenye zambarau Hakuna mahali nimeelezea hasara japo kuwa najua zipo tena nyingi tu nakupa evidence ya hizo tafuta kupitia Pornography has its benefits - On Line Opinion - 29/9/2006 na Pornography May Have Postive Social Benefits, So Don't Ban It | Smoke & Stir... pamoja na hii hapa The Pros and Cons of Pornography « Phil for Humanity Hapa pia hukupaswa ndugu yangu kuniona kama adui na kwenda mbali unahitaji tarifa za tafiti humwamini mtu sasa mpaka usikie Marekani wametafiti kwani kwafikra za kawaida huwezi pata majibu kwa kujiuliza hadi hujui kama kunawatu wanazinunua na wapo wanao ziuza hadi tafiti!!!
Mwisho mimi si shabiki wala sinunui na kubeba kama unavyo dhani niondoe kwenye hilo kundi kama nilivyosema hakuna mahali nimejihusisha kwa maandishi! Nadhani nimeeleweka Mkuu!!!!!!!!!
 
ukikutana na watu ka kina simplicity mbona na thread unaanzishiwa...ila lovito

inaonekana wewe ni mtaalam sana..kuna hiyo moja nimeiona sijui virus detected refresh ....umenichekesha sana
aaaah lovito si unajua kuna files zingine kuzitupia tu on desk top inajihisi haupo safe
 
Aiseeh, video za porn ziko popular kiasi cha kutetewa hivi?
 
Duh asant JF! Kumbe ndiyo uliamua kuja kunidhalilisha hivi? Basi tutaona hicho kibarua chako.
 
Haya ni mapenzi, uzinzi, uasherati au kitu gani?

Ni mara ya tatu kukutana na huu msala wa watu kubeba picha na video za ngono kwenye flash derives zao. Wa kwanza alikuwa kavulana fulani, nilikachimba mkwara nikakaambia nenda zako usirudie tena kubeba uchafu huo kwenye flash disk yako. Mwingine alikuwa ni mdada anafanyia kazi bank, nakumbuka alinitext "Hivi unanichukuliaje kunikuta nimebeba hizo picha?". Nilimjibu "utakuwa unatumia bundle kubwa sana, au tigo wanakupa bure nini, maana niliona picha zao pia!"


Wa tatu bosi wangu tena mwanamke. Issue iko hivi:

Laptop yangu nimeifanyia configuration kudetect malware (including porn videos and photos, kwa kutumia possible key words zinazoweza kuwepo kwenye source files, hapa kwa kawaida ni metadata au links zilikodownlodiwa), na ikidetect nimeiset kufungua folder lenye haya mavitu kwa kupoup, huku ikidispaly message:

"Wicked files detected, they are subject to deletion in few seconds, this decision is not negotiable and cannot be undone", hiyo ni warning message yangu.

Sasa siku moja asubuhi na mapema bosi wangu akaja anakimbiakimbia, namheshimu, dah "tafadhali naomba unisaidie kuna hizi data hapa nimehangaika nazo kweli, nataka kuzifanyia statistical analysis, ngoja nikuletee flash uhamishe na kufanyia kwenye laptop yako". Akanieleza kwa kifupi nimsaidie kuzifanya nini, halafu fasta kaenda ofisini kwake kuleta flash (ngo ngo ngo ...., kelele zilizofanywa na high heels zake).

Kuichomeka flash kwenye port hivi (sikutegemea kabisa kama huyu madam angebeba hayo madude kwenye flash), duh, OoOOOoOOOps! Folder limefunguka (amelipa jina "Personal Data") huku laptop ikidisplay hiyo message "Wicked files .....".

Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".

Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka. Ikabidi nimwambie tafadhali tuliza mzuka maana utaua bendi. Jamaa alishindwa kabisa kuacha kucheka, ilibidi tusiende ofisini muda ule, tukaamua kwenda kutafuta breakfast kwanza kwenye mgahawa fulani upo karibu na sehemu ya kazi.

Nilirudi kwa kunyata, nikakuta laptop yangu imetolewa battery halafu wala haijarudihshiwa (atakuwa alishindwa kuizima, maana, nilivyokuwa nimeiset asingeweza kucancel au kuswitch off mpaka imalize kudelete).

Wakati nafikiria kwenda kumwuuliza secretary kama bosi yupo, bahati nzuri vuuuuuu, secretary kaingia ofisini kwetu "mmemfanya nini bosi mbona kakasirika hivi leo?". Nikamwuuliza yupo? Akaniambia kaondoka amesema kapata dharura, nikasema afadhali!

Ilikuwa Ijumaa iliyopita. Jumanne - kesho kutwa najua ataniita, na mie siku hiyo nitafika ofisini asubuhi sana ili kama atakuwa amefika tuyamalize kabisaa!

Nitamwambia hiyo flash yako usiwe unawapa watoto maana watoto wa siku hizi ni watundu sana wanaweza kujaza vitu ilimradi tu. Kuhusu ilivyopopup, nitamwambia kuna watu wamefanya uhuni wameiwekea flash software ili ukiichomeka kwenye usb port inafunguka automatically na kuiambia computer ifute baadhi ya mafaili!

Yaani majibu au kujitetea kwangu itakuwa ni full drama kutegemea na upepo na mood yake kuhusu hilo tukio.

Dunia ina mambo sikutegemea kabisa huyo mdada/madam kuwa na hizo movies kwenye flash. Kutokana na nilichokishuhudia juzi, jana niliamua kubadilisha signature yangu ya Jf na kutoa ujumbe kama unavyouona hapo chini.

Please Jf members "Say no to wicked things on your eyes!".

Duh asante JF! Kumbe ndiyo uliamua kuja kunidhalilisha hivi? Basi tutaona hicho kibarua chako.
 
SIMpilicity simply an honestly am in love with your behaviour,endelea hivyo hivyo mkuu nawe utabarikiwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Haaaa yalimkuta it mmoja pale kijiweni akaja kwangu mbio anataka ushauri ..., nikamwambia mtengenezee kamera yake tena mpe na sahau as haujaona kitu.
hahahaha...ndo faida za uchimbi hizo!
 
Haiwezi kutokea hiyo mkuu, dada zangu wanajiheshimu, na wameolewa, na kwa maadili tuliyolelewa na wazazi wetu, sio rahisi.

hivi wote wanaofanya hivi hawakufundishwa na wazazi wao ee?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom