- Thread starter
- #81
Kwenye Green nimekuelewa!
Kwenye red kwa namna tunavyoheshimiana hukupaswa kuniunganisha huko kwani hakuna mahali nimeonyesha nami naziangalia au ni mnufaika wala kuwatetea watu si kuwa wanakuhusu!
kwenye blue nakushauri usivunje utaratibu kisa yeye kavunja maana anayekuwa wa mwisho kuvunja ndio sisi tunamwangalia!
Kwenye yellow mimi lawama kubwa nimekurushia baada ya kuona ulimfanyia kusudi na nukuu "Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".
Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka."
Ehm jitasimini mwenyewe Mkuu kwa maneno yako hayo ambayo si mimi ni meyasema ila wewe!
Kwenye zambarau Hakuna mahali nimeelezea hasara japo kuwa najua zipo tena nyingi tu nakupa evidence ya hizo tafuta kupitia Pornography has its benefits - On Line Opinion - 29/9/2006 na Pornography May Have Postive Social Benefits, So Don't Ban It | Smoke & Stir... pamoja na hii hapa The Pros and Cons of Pornography « Phil for Humanity Hapa pia hukupaswa ndugu yangu kuniona kama adui na kwenda mbali unahitaji tarifa za tafiti humwamini mtu sasa mpaka usikie Marekani wametafiti kwani kwafikra za kawaida huwezi pata majibu kwa kujiuliza hadi hujui kama kunawatu wanazinunua na wapo wanao ziuza hadi tafiti!!!
Mwisho mimi si shabiki wala sinunui na kubeba kama unavyo dhani niondoe kwenye hilo kundi kama nilivyosema hakuna mahali nimejihusisha kwa maandishi! Nadhani nimeeleweka Mkuu!!!!!!!!!
Sawa mkuu, lakini kwa sasa nitaendelea na hilo zoezi la kuscan disks na kama zina porn videos nadelete.