Pornography?

Pornography?

ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe

Duuh Aisiiiih!!!
 
hahahaaa dah huyu mchizi bonge la mzoefu,nimekua nikifuatilia comments zako toka huko juu mpaka hapa nimejiridhisha kwamba una uzoefu mkubwa sana wa "kuficha" hizi makitu,naachia hapa kukufuatilia cuz hii ya empty ni kubwa kuliko lol
 
Haya ni mapenzi, uzinzi, uasherati au kitu gani?

Ni mara ya tatu kukutana na huu msala wa watu kubeba picha na video za ngono kwenye flash derives zao. Wa kwanza alikuwa kavulana fulani, nilikachimba mkwara nikakaambia nenda zako usirudie tena kubeba uchafu huo kwenye flash disk yako. Mwingine alikuwa ni mdada anafanyia kazi bank, nakumbuka alinitext "Hivi unanichukuliaje kunikuta nimebeba hizo picha?". Nilimjibu "utakuwa unatumia bundle kubwa sana, au tigo wanakupa bure nini, maana niliona picha zao pia!"

Wa tatu bosi wangu tena mwanamke. Issue iko hivi:

Laptop yangu nimeifanyia configuration kudetect malware (including porn videos and photos, kwa kutumia possible key words zinazoweza kuwepo kwenye source files, hapa kwa kawaida ni metadata au links zilikodownlodiwa), na ikidetect nimeiset kufungua folder lenye haya mavitu kwa kupoup, huku ikidispaly message:

"Wicked files detected, they are subject to deletion in few seconds, this decision is not negotiable and cannot be undone", hiyo ni warning message yangu.

Sasa siku moja asubuhi na mapema bosi wangu akaja anakimbiakimbia, namheshimu, dah "tafadhali naomba unisaidie kuna hizi data hapa nimehangaika nazo kweli, nataka kuzifanyia statistical analysis, ngoja nikuletee flash uhamishe na kufanyia kwenye laptop yako". Akanieleza kwa kifupi nimsaidie kuzifanya nini, halafu fasta kaenda ofisini kwake kuleta flash (ngo ngo ngo ...., kelele zilizofanywa na high heels zake).

Kuichomeka flash kwenye port hivi (sikutegemea kabisa kama huyu madam angebeba hayo madude kwenye flash), duh, OoOOOoOOOps! Folder limefunguka (amelipa jina "Personal Data") huku laptop ikidisplay hiyo message "Wicked files .....".

Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".

Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka. Ikabidi nimwambie tafadhali tuliza mzuka maana utaua bendi. Jamaa alishindwa kabisa kuacha kucheka, ilibidi tusiende ofisini muda ule, tukaamua kwenda kutafuta breakfast kwanza kwenye mgahawa fulani upo karibu na sehemu ya kazi.

Nilirudi kwa kunyata, nikakuta laptop yangu imetolewa battery halafu wala haijarudihshiwa (atakuwa alishindwa kuizima, maana, nilivyokuwa nimeiset asingeweza kucancel au kuswitch off mpaka imalize kudelete).

Wakati nafikiria kwenda kumwuuliza secretary kama bosi yupo, bahati nzuri vuuuuuu, secretary kaingia ofisini kwetu "mmemfanya nini bosi mbona kakasirika hivi leo?". Nikamwuuliza yupo? Akaniambia kaondoka amesema kapata dharura, nikasema afadhali!

Ilikuwa Ijumaa iliyopita. Jumanne - kesho kutwa najua ataniita, na mie siku hiyo nitafika ofisini asubuhi sana ili kama atakuwa amefika tuyamalize kabisaa!

Nitamwambia hiyo flash yako usiwe unawapa watoto maana watoto wa siku hizi ni watundu sana wanaweza kujaza vitu ilimradi tu. Kuhusu ilivyopopup, nitamwambia kuna watu wamefanya uhuni wameiwekea flash software ili ukiichomeka kwenye usb port inafunguka automatically na kuiambia computer ifute baadhi ya mafaili!

Yaani majibu au kujitetea kwangu itakuwa ni full drama kutegemea na upepo na mood yake kuhusu hilo tukio.

Dunia ina mambo sikutegemea kabisa huyo mdada/madam kuwa na hizo movies kwenye flash. Kutokana na nilichokishuhudia juzi, jana niliamua kubadilisha signature yangu ya Jf na kutoa ujumbe kama unavyouona hapo chini.

Please Jf members "Say no to wicked things on your eyes!".

Dah hii kali sana haina maana kuwa na vitu vinavyo pollute mind na ukizoea kuangalia mambo hayo itafikia wakati hata wakati wa kufanya tendo hilo unashindwa kwa kuwaza yale uliyoyaona kwenye sinema zako za ngono.
 
hahahaaa dah huyu mchizi bonge la mzoefu,nimekua nikifuatilia comments zako toka huko juu mpaka hapa nimejiridhisha kwamba una uzoefu mkubwa sana wa "kuficha" hizi makitu,naachia hapa kukufuatilia cuz hii ya empty ni kubwa kuliko lol
aaaah au folder ndani ya folder mpaka anajiona kachokonoa sana,halafu anakutana na folder inaitwa ''virus detected go back and restart your computer.''kumbe ndo folder yenye mambo yenyewe,lazima awe mpole kwanza pc si yake ataogopa iharibike
 
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe

HAHAHA sina mbavu yaani anakata tamaa kabla hajafika aisee. Ila sio vizuri kuweka kwenye computer kama ni Company. Walishafukuzwa watu wa aina hiyo kazini kwetu. Zee zima linaandikiwa kuwa porn ndo chanzo cha kukatisha kazi ni aibu tupu.
 
computer za company noma,tumia kudownload uweke kwenye flash card,kwenye computer futa kabisa downloads na futa kabisa browsing history
 
Kwanza si tabia nzuri hata kidogo kuwa na software ya ku -detect na kudelete mafile ya aina hiyo bila preinformation kwa mhusika kwani hapa duniani watu wana vitu ambavyo ni:- 1. public 2. private 3. protected
unapo nunua au tengeneza software lazima ujue faida na hasara yake pia lengo la msingi la kuwa nayo! sasa hiyo yako sioni faida yake baadala ya umbeya wa kuchunguza vitu vya ndani vya watu!
Mungu tu katuumba na kutufanya tusijue huyu anafikiria nini yani kaweka siri baina yetu na kampa maamzi binadamu mwenyewe kwa hiari yake kumfuata au kumkataa sasa wewe hiyo software yako uliiweka kwa faida ipi!
wenzenu nchi zilizoendelea wanatengeneza software za kimaendeleo wewe unahangaika na udaku alafu unajisifu! nani sasa mkamilifu
Faida za pornographic katika jamii
1. hupunguza ubakaji
2.reduce social violece
3. kumfanya mtu awe na mhemko wa kufanya mapenzi (kuna watu akitazama ndio anapata mwasha washa)
4. huwaingizia watu kipato(ujira)
Faida za picha za uchi
1. Huokoa gharama na maisha ya mgonjwa
2.Kumfariji mwenzio unapokuwa mbali naye
Na faida nyingine kede kede sasa mtu ameandika Personal na unajua anamaana gani unakuwa na software inafungua! kuna watu wanajipiga picha za sehemu za siri wanatuma kwa madakitari kama ana tatizo la ugonjwa unao husiana na sehemu hizo mfano fangasi,kaswende,kisonono n.k kushauriwa na pengine kupunguza ghalama mfano kama ni India au uko mkoa badala ya kuja Dar unatuma picha wanacheki wakiona unatibika wanakuita kuliko unge anza safari ufike kule ukikuta hautibiki au wangeweza hata kukutumia dawa tu na wewe unapoteza fedha nyingi kwa nauli,kula na malazi sasa limtu kama wewe unatengeneza software ya kufungua siri kama hizo with no faida kwako wala kwa aliye kuletea!
Jitafakarini kwanza unafikiri kwa ulicho kifanya kama ninge kuwa mimi ndio boss wako pasipokuangalia how resourceful are u katika kampuni sikuachi hapo kazini labda ofisi ya serikali, sijui hata ethics za professional zenu hamjifunzi duh?
Wewe kama mtoa huduma katika hiyo office unafikiri una faida tena na hiyo office? unadhani boss wako atahitaji tena hiyo huduma yako? kama unajua software yako ni muhimu basi weka tangazo au mwambie mtu kama una picha, video za siri humu please zitafunguka! ndio maana boss wako akaandika personal akijua professionalized person hawezi fungua! hizo ajira za shangazi mjomba ndio madhara yake ngoja muwakomeshe si ndivyo wanataka!
Kazi ni pamoja na client wako kufurahia huduma yako, unge mpa tahadhari kwanza, ange kweleza humu labda ninazo basi unaweza zifuta au la! unafikiri wewe hapo ulipo siri zako tukifunguliwa hapa tuzione si itakua balaa! Be smart Unajua kwanza matarajio ya mwajili wako katika ofisi siku anakuajili ni yapi au unafikiri ulilofanya ni moja wapo! nyie ndio mnafanya wasitaafu wanaongezewa mikataba ya kufanya kazi vijana wanakosa ajira, mnasababisha ukitafuta kazi wanataka uzoefu kwanza! Sijafurahishwa na tabia yako tena ulipo mcheka boss wako makusudi bila kumtaka radhi na pengine kuzima laptop!!!!!!!!
 
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe

ujanja mwingi.......
 
  1. ni Bosi wako
  2. unamuheshimu
baada ya kuona (uliyoyaona) ulitoka nje (probably, ukamuacha ofsini na kuelekea kwenye breakfast moja kwa moja...SERIOUSLY??? nahisi kama kunakitu skipati poa hapa.

Na unauhakika gani yeye ndo aliweka?? na kama hakuweka yeye angejuaje uwepo wa hayo ilihali hajafanya hizo configuration kama wewe?
Mapi ndio maana nimesema kama nitakutana naye Jumanne - kesho, nitamwambia awe makini na flash, asiwaachie watu wengine, hasa watoto.
 
Last edited by a moderator:
uzembe sana kukutwa na video za porn kwenye computer,mi huwa na-lock kabisa file ya porn nimei-name "kwaya".
nani atahangaika files zote afungue asikilize kwaya wakati kuna series na movies au comedy

Duh, watu mmepinda, bora hata uname mapato na matumizi.
 
huyu jamaa muongo sana, yaani umuachie ofisi bosi wako asolve broblem ya displayed porno kweye laptop uliyoifungua wewe!!!! hata kama ni autorun, haiingii akilini.

Aibu tu ndio iliniondoa, kwani yeye alikuwa asolve nini, wakati kazi alishanionyesha, alitakiwa ale kona tu.
 
ndio maana simuelewi Simplicity kirahisi labda anipe maelezo ya ziada....
ila hiyo yako isjekuwa haikuwa virus, bosi alikuwa ameweka kamtegoo....hahahahahah

Hivyo havikuwa virusi, mtu amedownload kabisa, zaidi ya Gigabytes mbili nadhani.
 
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe

mateso yote hayo ya nini? Unaandika tu "open at your own risky"
 
kuliko kusoma iyo hutuba yako,!ebu tupia izo pon apa tuburudike,au tos wed yenye mapon fresh mana unaonekana unayajua xana
 
hivi hiyo software umeiweka ili nini labda? hizo outside sources zenye hizo mambo ni za watu wengine, na ni mali zao na contents within ni za kwao..wewe unawasaidiaje kudelete while wao wanazitaka?? sio kuingilia privacy ya mtu huko?
Mapi inaonekana ni hobbyist, mie nimeweka ili virus visiharibu computer yangu. Asilimia kubwa ya virus vinavyoua os za computer wanategwa kwenye video za porn. Watengeneza virus wanajua sana watu kama akina Mapi (natania) wanapenda kuvist hizo sites, ukivist au kudownload chochote mara nyingi unachukua virus pia. Nia yangu sio kuingilia privacy, bali ni kujilinda dhidi ya threats. Soma hapa ndio utanielewa:

Why is porn associated with computer viruses? - Yahoo! Answers
 
Back
Top Bottom