Pornography?

Pornography?

Mkuu we umepewa kazi nyingine ukaanza kufungua folder jingine mwisho wa siku ukaenda kumhadithia na mwenzio, mbona umekuwa Baba sipitwi.
 
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe

.
.
.
we mkali man....kitu kinawekwa new folder,ndani ya new folder kunakuwa na new folder kama tano na katika kila new folder tano kuna new folder tatu.....then katika zile tano new folder ya nne kuna new folder saba,ya sita ndani kuna new folder tatu....ya tatu ndio yenyewe..........akisearch anakuta hewa tupu na movie unazirename
 
computer za company noma,tumia kudownload uweke kwenye flash card,kwenye computer futa kabisa downloads na futa kabisa browsing history

Mkuu nakushauri uachane nayo hayo madude. Kama umeshawahi kudownload kwa kutumia computers za kampuni au internet yao kuna uwezekano mkubwa wanakujua vizuri. Kwa script niliyoitengeneza itascan folder zote.
 
Cha ajabu wala hakipo wewe tu na mawengewenge yako ungemfanyia anachotaka na kama uliona inakukera ungemwambia i cant do this. Na siku boss wako akikupa kakamera kake kana picha kapiga ana do laivu na mpango wake wa kando si utazimia kabisa.
 
Kwanza si tabia nzuri hata kidogo kuwa na software ya ku -detect na kudelete mafile ya aina hiyo bila preinformation kwa mhusika kwani hapa duniani watu wana vitu ambavyo ni:- 1. public 2. private 3. protected
unapo nunua au tengeneza software lazima ujue faida na hasara yake pia lengo la msingi la kuwa nayo! sasa hiyo yako sioni faida yake baadala ya umbeya wa kuchunguza vitu vya ndani vya watu!
Mungu tu katuumba na kutufanya tusijue huyu anafikiria nini yani kaweka siri baina yetu na kampa maamzi binadamu mwenyewe kwa hiari yake kumfuata au kumkataa sasa wewe hiyo software yako uliiweka kwa faida ipi!
wenzenu nchi zilizoendelea wanatengeneza software za kimaendeleo wewe unahangaika na udaku alafu unajisifu! nani sasa mkamilifu
Faida za pornographic katika jamii
1. hupunguza ubakaji
2.reduce social violece
3. kumfanya mtu awe na mhemko wa kufanya mapenzi (kuna watu akitazama ndio anapata mwasha washa)
4. huwaingizia watu kipato(ujira)
Faida za picha za uchi
1. Huokoa gharama na maisha ya mgonjwa
2.Kumfariji mwenzio unapokuwa mbali naye
Na faida nyingine kede kede sasa mtu ameandika Personal na unajua anamaana gani unakuwa na software inafungua! kuna watu wanajipiga picha za sehemu za siri wanatuma kwa madakitari kama ana tatizo la ugonjwa unao husiana na sehemu hizo mfano fangasi,kaswende,kisonono n.k kushauriwa na pengine kupunguza ghalama mfano kama ni India au uko mkoa badala ya kuja Dar unatuma picha wanacheki wakiona unatibika wanakuita kuliko unge anza safari ufike kule ukikuta hautibiki au wangeweza hata kukutumia dawa tu na wewe unapoteza fedha nyingi kwa nauli,kula na malazi sasa limtu kama wewe unatengeneza software ya kufungua siri kama hizo with no faida kwako wala kwa aliye kuletea!
Jitafakarini kwanza unafikiri kwa ulicho kifanya kama ninge kuwa mimi ndio boss wako pasipokuangalia how resourceful are u katika kampuni sikuachi hapo kazini labda ofisi ya serikali, sijui hata ethics za professional zenu hamjifunzi duh?
Wewe kama mtoa huduma katika hiyo office unafikiri una faida tena na hiyo office? unadhani boss wako atahitaji tena hiyo huduma yako? kama unajua software yako ni muhimu basi weka tangazo au mwambie mtu kama una picha, video za siri humu please zitafunguka! ndio maana boss wako akaandika personal akijua professionalized person hawezi fungua! hizo ajira za shangazi mjomba ndio madhara yake ngoja muwakomeshe si ndivyo wanataka!
Kazi ni pamoja na client wako kufurahia huduma yako, unge mpa tahadhari kwanza, ange kweleza humu labda ninazo basi unaweza zifuta au la! unafikiri wewe hapo ulipo siri zako tukifunguliwa hapa tuzione si itakua balaa! Be smart Unajua kwanza matarajio ya mwajili wako katika ofisi siku anakuajili ni yapi au unafikiri ulilofanya ni moja wapo! nyie ndio mnafanya wasitaafu wanaongezewa mikataba ya kufanya kazi vijana wanakosa ajira, mnasababisha ukitafuta kazi wanataka uzoefu kwanza! Sijafurahishwa na tabia yako tena ulipo mcheka boss wako makusudi bila kumtaka radhi na pengine kuzima laptop!!!!!!!!

Picha ya uchi tu ya kawaida au video ya uchi ya mtu haiwezi kufunguliwa, inafungua video baada ya kudetect inatoka porn site. Nimeweka ili kujihami na threats: Why is porn associated with computer viruses? - Yahoo! Answers

Google tu kidogo uone jinsi porn zilivyo harmful kwa computer, sikubali kupoteza data zangu kwa sababu ya ujinga wenu!

Kwa ethics za kazi na imani yake hakutakiwa kuwa na hizo videos.

Hiyo ilikuwa kazi yake binafsi nilikuwa namsaidia sio ya ofisi, kwanza sikutegemea kama angekuwa nazo.

Tupe faida na hasara ya pornography evidenced by research, sio wewe unajiandikia tu. Basi na nyie muwe smart basi, maana mnabeba video za ngono utadhani maandazi.
 
waache watu wafanye maasi yao,kwani wewe unadhurika na nini kwenye starehe ya mwenzio?
Nalog off

Hujui tatizo la mwenzio linakugharimu na wewe pia kwa namna moja au nyingine?
 
Mkuu we umepewa kazi nyingine ukaanza kufungua folder jingine mwisho wa siku ukaenda kumhadithia na mwenzio, mbona umekuwa Baba sipitwi.

Limefunguka lenyewe tu mkuu. Acheni hiyo tabia.
 
Cha ajabu wala hakipo wewe tu na mawengewenge yako ungemfanyia anachotaka na kama uliona inakukera ungemwambia i cant do this. Na siku boss wako akikupa kakamera kake kana picha kapiga ana do laivu na mpango wake wa kando si utazimia kabisa.

hahahahahaha.....hii hata mimi na moyo wangu mgumu ntazinduka siku ya tatu...
 
Mapi inaonekana ni hobbyist, mie nimeweka ili virus visiharibu computer yangu. Asilimia kubwa ya virus vinavyoua os za computer wanategwa kwenye video za porn. Watengeneza virus wanajua sana watu kama akina Mapi (natania) wanapenda kuvist hizo sites, ukivist au kudownload chochote mara nyingi unachukua virus pia. Nia yangu sio kuingilia privacy, bali ni kujilinda dhidi ya threats. Soma hapa ndio utanielewa:

Why is porn associated with computer viruses? - Yahoo! Answers

sijapitia hiyo link uliyonipa na wala sio mtaalamu wa kompyuta ila najiuliza..ukiscan kwa kutumia ant-virus bila kuaffect hizo mambo za mwenzio haitoshi?? kwasababu kwa asili ya hiyo software yako (ya kichimbichimbi) hahaha.. inatambua kila aina ya hizo picha bila kubagua kama ni kirusi ama la!
siwezi kataa hiyo mambo huwa naangalia ila sio muathirika wake.....
 
na wewe umemshtukia ee..hahahahah Simplicity janja yako kwisha vuja

Sio mimi mkuu ni uzoefu ambao watu huwa wanatoa, maana wakati nasoma chuo kuna watu walikuwa usiku kucha hawalali wanaangalia hizo videos, wakati mwingine walikuwa wanaweka sauti ya juu na kusababisha usumbufu kwa wengine. Najua idadi nzuri ya hao jamaa, sijui labda wewe ni mmojawapo! Kuna jamaa alishawahi kufukuzwa na wadeni Mabibo Hostel baada ya wadau kumripoti.
 
sijapitia hiyo link uliyonipa na wala sio mtaalamu wa kompyuta ila najiuliza..ukiscan kwa kutumia ant-virus bila kuaffect hizo mambo za mwenzio haitoshi?? kwasababu kwa asili ya hiyo software yako (ya kichimbichimbi) hahaha.. inatambua kila aina ya hizo picha bila kubagua kama ni kirusi ama la!
siwezi kataa hiyo mambo huwa naangalia ila sio muathirika wake.....

Inatambua sio kila picha au video, bali ni ile yenye info/metadata zinazohusiana na porn sites. Na mara nyingi haikosei.
 
Back
Top Bottom