Pornograph(picha za ngono)

Mimi nadhani tupige kura ya siri ili tuamue nani yuko sahihi kati ya mtoa mada na wachangia mada
 
Nasikia bodaboda hazitakiwi mjini kwakua Jamaa wameona biashara zao za tax hazilipi...
 
Hivi ninyi watanganyika nani kawaroga hata muikane nchi yenu? Hivi siku ya kiyama tukikuta watu wanapaswa kukaa ki nchi tutakuwa wageni wa nani maana tanganyika itatukataa na hakuna nchi inayoitwa tanzania kule....amkeni serikali tatu mpango mzima.

Shida yako unashadadia vitu usivyovijua we kaa na hoja yako ya serikali tatu utaona, nikuulize swali ukipewa nafasi wewe uwe raisi utapenda uongoze nchi hani kati zile tatu?
 
Hii ni barua ya kihaya kwa wapemba. Hahaha mtoa mada anajuta kutoa mada yake
 
Halafu nasikia alshabaab anataka serikali tatu kweli?

Hata mim naungana nao nishaanza mafunzo isipopitaa tunalipuaa hadi wewe hatukubakishii siku hiyo hakuna cha ubinamu
 
Hata mim naungana nao nishaanza mafunzo isipopitaa tunalipuaa hadi wewe hatukubakishii siku hiyo hakuna cha ubinamu

Hahahahahah haya rudi kwenye mada kuhusu hayo mapichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…