hamna haiwezekani japo lengo la kuwapiganisha hasa ndo hilo.
Rate yao ya kuzaliana iko juu sana.
Mfano gaza strip,israel anajitahidi kuwapunguza lakini wapi,wanazidi kuzaliana na ndo chanzo cha yeye kuamua kujenga maukuta kuwazuia wasiingie israel.
waliona kuwa kupigana vita na waislamu hawataweza ni gharama na watafiriska kwa sababu muslimu dont guit.mfano irag ilibidi marekani afunge virago baada ya kumenyeka kwa zaidi ya miaka 10.Thats means hii order itashindwa manake miongoni mwa walengwa wakubwa ni waislamu. Hata haya yanayoendelea katika mataifa ya kiislamu ni miongoni mwa technique zao.
Muslim population:
1. Afghanistan 100%
2. Albania 75%
3. Algeria 99%
4. Angola 25%
5. Argentina 2%
6. Australia 2.09%
7. Azerbaijan 93%
8. Bahrin 100%
9. Bangladesh 85%
10. Bhutan 5%
11. Brazil 0.6%
12. Burma 10%
13. Canada 1.48%
14. Cntral africn rpblc 55%
15. China 11%
16. Egypt 94%
17. Ethopia 65%
18. Fiji 11%
19. France 7%
20. Georgia 11%
21. Germeny 3.4%
22. Greece 1.5%
23. Guinea 95%
24. Guyana 15%
25. Hongkong 1%
26. India 14%
27. Indonesia 95%
28. Iran 99%
29. Iraq 97%
30. Isreal 14%
31. Italy 1%
32. Japan 1%
33. Jordan 95%
34. Kenya 30%
35. Kuwait 89%
36. Lebanon 70%
37. Libya 100%
38. Maldives 100%
39. Malasiya 52%
40. Mauritius 19.5%
41. Mayotte 99%
42. Nigeria 75%
43. Oman 100%
44. Pakistan 97%
45. Phillipines 14%
46. Qatar 100%
47. Romania 20%
48. Russia 18%
49. Saudi arab 100%
50. Singapore 17%
51. Somalia 100%
52. Sri lanka 9%
53. Sudan 85%
54. Syria 90%
55. Tazakistan 85%
56. Tanzania 65%
57. Thiland 14%
58. Tunisia 98%
59. Turkey 99.8%
60. UAE 96%
61. UK 2.5%
62. USA 3.75%
63. Uzbekistan 88%
Where the Prophets originated:
Adam(A.S) - Sri Lanka
Nooh(A.S) - Jordan
Shoaib(A.S) - Syria
Saleh(A.S) - Lebanon
Ibrahim(A.S) - Palestine and died in iraq
Ismail(A.S) - Saudi Arabia
Yakoob(A.S) - Palestin
yahya(AS) palestine
zakariya (AS) palestine
Ishaq(A.S) - Palestin
Yusuf(A.S) - Palestin
Looth(A.S) - Iraq
Ayub(A.S) - Jordan
Hood(A.S) - Yamen
Nabi-Muhammad S.A.W) - Saudi Arabia
TajikstanHapo tu ndo pamefanya sredi yako yote ikose legitimacy.
hivi inawezekana kwel nchi nzma kwa sasa ikawa dini moja tu yani asilimia mia au mi ndo sielew maana ya asilimia mia
Pamoja na hayo?
Tuje upande huu
Kwanini Population ya Waislam wote Duniani haifikii Idadi kamili ya Kanisa Katoliki Ulimwenguni..
Hapo ndio ubaya wa kukimbia shule, jamaa hajui hata kama kutakuwa na mtu mmoja tu ambaye sio muislamu kati ya bilioni moja hapo haiwezi kuwa 100%.
Hapo ndio ubaya wa kukimbia shule, jamaa hajui hata kama kutakuwa na mtu mmoja tu ambaye sio muislamu kati ya bilioni moja hapo haiwezi kuwa 100%.