Population of Muslim in the World

Status
Not open for further replies.
Mkuu upo?sijakuona muda nikajua uko guantanamo.

Nipo mkuu, namtazama huyu jamaa anaesumbuliwa na inferiority complex . Akiona idadi ya watu imani yake anadhani inamsadia. Pale Middle east wako wengi wamemshidwa Mu israel, walipigwa nchi zote za kiarabu mwaka 1948
 
Bwana Mdogo HUSSEIN MUSHI

Nikija hapa Tanzania ndio utacheka lakini kama umezoea kukaa kwenye barza za ustadhi Mohamed Said lazima utajidanganya sana.Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1967 ambayo ilikuwa ikionyesha idadi ya watu kwa kufuata misingi ya dini bado waislamu walikuwa wachache kuliko wakristo na wapagani.

Mwaka 1967 watanzania walikuwa 12,112,858 waislamu walikuwa 3,692,599 wakristo 3,710,626 wanaofuta dini za jadi walikuwa (local belief) 4,194,333 na madhehebu ya dini nyingine 153,139 kumbuka idadi yote ya waislam inajumuisha na idadi ya wazanzibar yenye idadi kubwa ya waislamu lakini bado haikuifikia idadi ya wakristo.

Sasa sijui hizi data zako umezitoa wapi labda Shura ya maimamu
 
Mtunzi wa thread hii ni mzushi, mwongo na mbabaishaji wa vijiweni. Maana haihitaji uwe na digrii kujua hapa Tanzania idadi ya waislamu haifiki hata asilimia 30 na Kenya hawafiki hata asilimia 10!
Kama atabisha ataje source ili wrote tuielewe.
 
Kuwa Wengi Duniani si Kuwa Wengi Mbinguni. . Sijui kwanini Uislam unapigana sana kuwa wengi Duniani
 
katika watu zaidi ya bilioni moja nchini china kuna waislamu ni 11% na katika watu karibia bilioni moja india waislam ni 14% kwa takwimu hizi tu inaonyesha ni jinsi gani waislamu ni minority.

Tafuta pia idadi ya wakristo India na china ndo udhibitishe huo usemi wako acha majungu dogo!
 
Unajua kuwa hao niliowawekea nyekundu ni waisraeli?

Nadhani hawa hawakutambulishwa kama waisrael kwa sababu hakukuwa na taifa la Israel kabla ya karne ya 20. Israel ilikuwa kama kabila tu ndani ya Palestine. Uisrael wao umeanzia kwa Yaqoob ambae ndiye mwenye jina la Israel. Kwahiyo vizazi vilivyomfuatia yeye ndio wakawa wana wa Israel.
 
Tafuta pia idadi ya wakristo India na china ndo udhibitishe huo usemi wako acha majungu dogo!

kwanza kabisa,hunijui sikujui usiniite dogo....pili nimesema waislamu nchi hizo ni minority kwa sababu wapo around 14%. sijasema wakristo ni majority wewe ndio umetaja wakristo so katafute idadi yao. nimesema waislamu ni minority....maanake other faiths ndio majority. jiongeze.
 
Bwana Mdogo HUSSEIN MUSHI

Nikija hapa Tanzania ndio utacheka lakini kama umezoea kukaa kwenye barza za ustadhi Mohamed Said lazima utajidanganya sana.Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1967 ambayo ilikuwa ikionyesha idadi ya watu kwa kufuata misingi ya dini bado waislamu walikuwa wachache kuliko wakristo na wapagani.

Mwaka 1967 watanzania walikuwa 12,112,858 waislamu walikuwa 3,692,599 wakristo 3,710,626 wanaofuta dini za jadi walikuwa (local belief) 4,194,333 na madhehebu ya dini nyingine 153,139 kumbuka idadi yote ya waislam inajumuisha na idadi ya wazanzibar yenye idadi kubwa ya waislamu lakini bado haikuifikia idadi ya wakristo.

Sasa sijui hizi data zako umezitoa wapi labda Shura ya maimamu

Ungeeleza miaka kumi nyuma pia waislamu walikuwa wangapi kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 1957 chini ya mkoloni. Unataka kufunika kombe mwanaharamu apite? Hyo data yako hapo juu ni sensa ya baba yako mlaaniwa Nyerere aliyepindisha idadi ya waislamu kwa makusudi na malengo yakuwanyonya. Ukiangalia Sensa ya mwaka 1957 waislamu walikuwa zaidi ya asilimia 60 ya Watanganyika na wakristo wakiwa asilimia isiyozidi 40 na wapagani almost asilimia isiyozidi 5. Sasa waislamu mnataka mtuambie ndani ya miaka kumi minne chini ya mkoloni na 6 chni ya Nyerere ndio walibadili dini na kuwa wapagani hadi kufikia wapagani zaidi 30%? Wenye akili wanakushangaeni kwakudhihirisha ujinga wenu wa wazi.
 
prouuuuuuuuuuuuuuuuuud, so what, kwa hiyo?, ili, je ndio imekuongezea life span. au imekupa maisha bora
 
wakristo wanaandika kutoka kushoto kwenda kulia , waislam wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto hence they collide at the middle..huyu anaandika herufi zmesimama hyu mwngine anaandika mchalango....kamwe hamtoelewana...
muhudumu niongeze kili ya baridi tafadhari af nistulie yule dada pale kama atapenda kujoin na mimi..
 
Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea new world order.
 
ina maana waislamu wana waiga wakristu kuandika???????............
 
Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea new world order.
 
Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea one world order.

wengi wanauwana wenyewe...mf egypt,syria, somalia, sudani, iraq,mali....
 
wakristo wanaandika kutoka kushoto kwenda kulia , waislam wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto hence they collide at the middle..huyu anaandika herufi zmesimama hyu mwngine anaandika mchalango....kamwe hamtoelewana...
muhudumu niongeze kili ya baridi tafadhari af nistulie yule dada pale kama atapenda kujoin na mimi..
Waislamu wana maandishi yao,na Namba zao,hata namba kutoka 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni namba zao,na neno ALPHABET,ni la uislamu,kwa maana ya Alf,Be,Te,.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom