Population of Muslim in the World

Population of Muslim in the World

Status
Not open for further replies.
Mimi ningekuona wa Maana kama ungeweka takwimu inayoonesha mchango wa waislam katika elimu kupitia vyuo, shule. Afya nk

Idadi ya watu katika dini haina mashiko maana kila mtu ana hatma yake siku ya mwisho
 
nigeria?????
tanzania?????
italy??????
kenya?????
 
ni tatizo mkuu waislam walitaka kipendegele hiki kiwekwe kwenye sencer...serikali ya kina Lukuvi walikataa....kama unavyojua mtu akitia mpira kwapani ujue ngoma nzito

Muhimu ni takwimu za watu wasio na uhuru wa kubudu na wale walliolipuliwa na mabomu ya wajahidina
 
Kumbe Tetesi?!!!!!


This is a list of religious populations by proportion and population. Estimates made by reliable sources differ. The CIA's World Factbook gives the population as 7,021,836,029 (July 2012 est.) and the distribution of religions as Christian 33.39% (of which Roman Catholic 16.85%, Protestant 6.15%, Orthodox 3.96%, Anglican 1.26%), Muslim 22.74%, Hindu 13.8%, Buddhist 6.77%, Sikh 0.35%, Jewish 0.22%, Baha'i 0.11%, other religions 10.95%, non-religious 9.66%, atheists 2.01% (2010 est.).[1]
 
Muslim population:



Where the Prophets originated:

Adam(A.S) - Sri Lanka
Nooh(A.S) - Jordan
Shoaib(A.S) - Syria
Saleh(A.S) - Lebanon
Ibrahim(A.S) - Palestine and died in iraq
Ismail(A.S) - Saudi Arabia
Yakoob(A.S) - Palestin
yahya(AS) palestine
zakariya (AS) palestine
Ishaq(A.S) - Palestin
Yusuf(A.S) - Palestin
Looth(A.S) - Iraq
Ayub(A.S) - Jordan
Hood(A.S) - Yamen
Nabi-Muhammad S.A.W) - Saudi Arabia

Unajua kuwa hao niliowawekea nyekundu ni waisraeli?
 
kwani nini asili yetu? Asili yetu tunatokana na ADAM...tujiulize ni Dhamira ya kuubwa Adam...hapo ndo utapata asili yetu.....
 
Nani kakukatalia kua si waizraeli? Nchi wanayotoka ni Falestine tatizo lako liko wapi...hakuna nchi inayoitwa Israeli kihistoria....
 
Mimi ningekuona wa Maana kama ungeweka takwimu inayoonesha mchango wa waislam katika elimu kupitia vyuo, shule. Afya nk

Idadi ya watu katika dini haina mashiko maana kila mtu ana hatma yake siku ya mwisho

Mkuu upo?sijakuona muda nikajua uko guantanamo.
 
Bwana Mdogo HUSSEIN MUSHI

Hizi data zako zimekaa kimakengeza labda nikuwekee mfano wa nchi ya Angola yenye jumla wa watu 22 million na idadi ya waislam kati ya 80,000 - 90,000.

[h=3]Religion[edit][/h]Main articles: Religion in Angola, Christianity in Angola and Islam in Angola

Ethnic groups of Angola 1970 (With areas where the so-called "Ganguela" groups are dominant, marked green)​

There are about 1000 mostly Christian religious communities in Angola.[SUP][69][/SUP] While reliable statistics are nonexistent, estimates have it that more than half of the population are Catholics, while about a quarter adhere to the Protestant churches introduced during the colonial period: the Congregationalists mainly among the Ovimbundu of the Central Highlands and the coastal region to its West, the Methodists concentrating on the Kimbundu speaking strip from Luanda to Malanje, the Baptistsalmost exclusively among the Bakongo of the Northwest (now massively present in Luanda as well) and dispersed Adventists,Reformed and Lutherans.[SUP][70][/SUP] In Luanda and region there subsists a nucleus of the "syncretic" Tocoists and in the northwest a sprinkling of Kimbanguism can be found, spreading from the Congo/Zaire. Since independence, hundreds of Pentecostaland similar communities have sprung up in the cities, where by now about 50% of the population is living; several of these communities/churches are of Brazilian origin.
The U.S. Department of State estimates the Muslim population at 80,000–90,000,[SUP][71][/SUP] while the Islamic Community of Angolaputs the figure closer to 500,000.[SUP][72][/SUP] Muslims consist largely of migrants from West Africa and the Middle East (especiallyLebanon), although some are local converts.[SUP][73][/SUP] The Angolan government does not legally recognize any Muslim organizations and often shuts down mosques or prevents their construction.[SUP][74][/SUP]
In a study assessing nations' levels of religious regulation and persecution with scores ranging from 0 to 10 where 0 represented low levels of regulation or persecution, Angola was scored 0.8 on Government Regulation of Religion, 4.0 on Social Regulation of Religion, 0 on Government Favoritism of Religion and 0 on Religious Persecution.[SUP][75][/SUP]
Foreign missionaries were very active prior to independence in 1975, although since the beginning of the anti-colonial fight in 1961 the Portuguese colonial authorities expelled a series of Protestant missionaries and closed mission stations based on the belief that the missionaries were inciting pro-independence sentiments. Missionaries have been able to return to the country since the early 1990s, although security conditions due to the civil war have prevented them until 2002 from restoring many of their former inland mission stations.[SUP][76][/SUP]
The Catholic Church and some major Protestant denominations mostly keep to themselves in contrast to the "New Churches" which actively

 
Last edited by a moderator:
hehe..eti 65%....si mngeshaanzisha sharia...manake mkiwaga wengi tu hicho ndio waga cha kwanza mnawaza..
 
Idadi siyo tija. Waisrael pale Middle east wako wachache lakini wamepiga Waarabu wote wakanyoosha maelezo. Walijiunga Saud arabia, Irad, Misri, Syria, Iran lakini wakapigwa halafu wanaume wakataza nchi yao Israel
 
asante kwa elimu. faida ya kujua hizi asilimia ni nini???

nchi yako imetoa hata prophet mmoja???
 
katika watu zaidi ya bilioni moja nchini china kuna waislamu ni 11% na katika watu karibia bilioni moja india waislam ni 14% kwa takwimu hizi tu inaonyesha ni jinsi gani waislamu ni minority.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom