Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
yakobo ndo israel,wale watoto wake 12 ndo wanawakilisha makabila 12 ya israel.Unajua kuwa hao niliowawekea nyekundu ni waisraeli?
Isaka,zakaria sidhani kama wanaqualify kuitwa waisrael.
yakobo ndo israel,wale watoto wake 12 ndo wanawakilisha makabila 12 ya israel.Unajua kuwa hao niliowawekea nyekundu ni waisraeli?
Kumbe Tetesi?!!!!!
This is a list of religious populations by proportion and population. Estimates made by reliable sources differ. The CIA's World Factbook gives the population as 7,021,836,029 (July 2012 est.) and the distribution of religions as Christian 33.39% (of which Roman Catholic 16.85%, Protestant 6.15%, Orthodox 3.96%, Anglican 1.26%), Muslim 22.74%, Hindu 13.8%, Buddhist 6.77%, Sikh 0.35%, Jewish 0.22%, Baha'i 0.11%, other religions 10.95%, non-religious 9.66%, atheists 2.01% (2010 est.).[1]
Waislamu wana maandishi yao,na Namba zao,hata namba kutoka 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni namba zao,na neno ALPHABET,ni la uislamu,kwa maana ya Alf,Be,Te,.
umeshawahi kutega sikio ukraine,mexico,sudani kusini etc uone wanavyouana?.wengi wanauwana wenyewe...mf egypt,syria, somalia, sudani, iraq,mali....
Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea new world order.
prouuuuuuuuuuuuuuuuuud, so what, kwa hiyo?, ili, je ndio imekuongezea life span. au imekupa maisha bora
Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea new world order.
Mimi ningekuona wa Maana kama ungeweka takwimu inayoonesha mchango wa waislam katika elimu kupitia vyuo, shule. Afya nk
Idadi ya watu katika dini haina mashiko maana kila mtu ana hatma yake siku ya mwisho
hamna haiwezekani japo lengo la kuwapiganisha hasa ndo hilo.Miaka michache ijayo dunia itakuwa katika hali tete sana kutokana na kupunguzwa waislamu kwakuuliwa na population measures nyingine kuelekea new world order.
Weka source,Tanzania umetudanganya
na kweli idadi si hoja,hasa hezbulah 3000 walipowagonga waisrael zaidi ya laki 200 kwenye vita vya 2006.Idadi siyo tija. Waisrael pale Middle east wako wachache lakini wamepiga Waarabu wote wakanyoosha maelezo. Walijiunga Saud arabia, Irad, Misri, Syria, Iran lakini wakapigwa halafu wanaume wakataza nchi yao Israel
ina maana waislamu wana waiga wakristu kuandika???????............
hicho sio kigezo,ukiona wavaa baragashia 50 kila ijumaa wanaomba hapohapo unaconclude waislamu wako hoe hoe?.Na ikifika ijumaa ndio wanaongoza kwa kupita na vibagarashia madukani kuomba mia mbili mia mbili.