Population of Muslim in the World

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye red si kweli maana labda kama utakuwa hujui ukweli. Yesu aliitwa Masiya au Messiah (in Hebrew māšīaḥ - מָשִׁיחַ )) kwa maana mwokozi the saviour au Kristo au English - Christ, Old English Crīst, Latin Christus, from Greek Khristos (ancient Greek: Χριστός- Christós) neno likiwa na maana mpakwa mafuta (annointed).
Kwa hiyo wafuasi wake ni Wakristo or Christians au kwa Kigiriki Χριστιανός (Christianos).
Kwa hiyo Yesu alikuwa Mkristo au mpakwa mafuta
swali hapa ni mafuta yapi hayo?.je mafuta hayo yanahusiana vipi na Mungu?
 
Naamini ndo mana wanajaribu kufarijiana....atokee mmoja wao aje hapa atupe sababu za msingi kutuekea thread inayohusu idadi yao kwenye hayo mataifa na faida ya kuyajua hayo..haya Tz wapo 65%,watupe faida za wao kua wengi.
 
mungu haangalii ukristo wako ili uingie mbinguni.anaangalia kama ulimnyenyekea na kujishusha mbele yake kwamaana ya kuyafanya na kufuata maamrisho yake.

Maana ya uislamu ni kumnyenyekea na kujitoa kwake yeye mungu.

pia utambue mungu haangalii uislam wako bali kifupi anaangalia matendo yako tu na c vingnevyo,sasa nyie inakuaje mnalazmisha watu kuwa waislam mpaka kuwatishia kifo kwani akiwa muislam ndo ksha mnyenyekea mungu? Ole ole wenu mnadhani mungu ni kama binadamu syo eti ukmuua asyekuwa muislam basi tayari ushakuwa wa peponi
 
Tanzania Hapana ,nikupe data kwa Tanzania sasa ujuwe ukweli .muslim cover only 31.67%kwa christia ambao wamugawanyika madhehebu tofauti tofauti kwa ujumla wake ni 67.33% na ambao hawafungamani na upande wowote es dini ni 1% sipendi kuongelea dini Maana wote tunamwomba MUNGU atupe kitu kimoja .MUNGU ibariki Tanzania ,MUNGU tupe Umoja
 
hizi nchi zenye waislaam 75% to 100% zoote hawakusoma !?

Mnazuia wislaam kusoma kwa dhulma halafu mnajidai. Hawataki shule !

wewe na wenzio ndo maana nawaambia hata daftari lenu hamlisomi maana lnasema wakristo ni wasomi na msiwaambie siri zenu,pia nambie je nchi za zenye waislam wengi dunian na zenye wakristo wengi je wapi kati yao wanaelimu kubwa, mwarabu na elimu wapi na wapi bwana,kuhusu tz waislam kutokuwa na elimu ni kwamba waarabu walpokuja tanganyka hawakuleta elmu maana wao hawakuwa na elimu tofauti na wazungu walpokuja tanganyka,je mbona mna mashule na vyuo lakn hamna ktu au mnafelshwa? Mnakalia kupga soga tu misktn badala ya kwenda shule.
 
pia utambue mungu haangalii uislam wako bali kifupi anaangalia matendo yako tu na c vingnevyo,sasa nyie inakuaje mnalazmisha watu kuwa waislam mpaka kuwatishia kifo kwani akiwa muislam ndo ksha mnyenyekea mungu? Ole ole wenu mnadhani mungu ni kama binadamu syo eti ukmuua asyekuwa muislam basi tayari ushakuwa wa peponi
kama humnyenyekei Mungu utaitwaje muislamu asee?.

Rejea maana ya neno uislamu.
 
wewe na wenzio ndo maana nawaambia hata daftari lenu hamlisomi maana lnasema wakristo ni wasomi na msiwaambie siri zenu,pia nambie je nchi za zenye waislam wengi dunian na zenye wakristo wengi je wapi kati yao wanaelimu kubwa, mwarabu na elimu wapi na wapi bwana,kuhusu tz waislam kutokuwa na elimu ni kwamba waarabu walpokuja tanganyka hawakuleta elmu maana wao hawakuwa na elimu tofauti na wazungu walpokuja tanganyka,je mbona mna mashule na vyuo lakn hamna ktu au mnafelshwa? Mnakalia kupga soga tu misktn badala ya kwenda shule.
eti wasomi,kigezo kipi kinakufanya useme wakristo ni wasomi?
 
hapa unajichanganya mwenyewe,umesema waislamu ni mashoga,kwamaana nyingine unasema huezi kumjudge mtu matendo yake kwa dini yake,then hiyo conclusion yako umeifikiaje?.

Kuua mbona hata wakristo wameua sana hapa duniani tena kwa mamilioni.
Hivi unadhani mungu ataangalia kwamba wewe mkiristo sijui mmarekani unaruhusiwa kuua eti ulikua unawapelekea watu demokrasia?.

yeyote yule awe muislam au mkristo kama alifanya kinyume na matendo mema basi mbingu kwake n ndoto ni jehanam tu,awe mmarekan au mwafrika, maana biblia kuua mwenzio ni dhambi kwasababu yoyote ile ni dhambi, kama usa wameua watu basi ziwa la moto lnawasubiri kama boko haramu,alshaabab nk.
 
Muslim population:

1. Afghanistan 100%
2. Albania 75%
3. Algeria 99%
4. Angola 25%
5. Argentina 2%
6. Australia 2.09%
7. Azerbaijan 93%
8. Bahrin 100%
9. Bangladesh 85%
10. Bhutan 5%
11. Brazil 0.6%
12. Burma 10%
13. Canada 1.48%
14. Cntral africn rpblc 55%
15. China 11%
16. Egypt 94%
17. Ethopia 65%
18. Fiji 11%
19. France 7%
20. Georgia 11%
21. Germeny 3.4%
22. Greece 1.5%
23. Guinea 95%
24. Guyana 15%
25. Hongkong 1%
26. India 14%
27. Indonesia 95%
28. Iran 99%
29. Iraq 97%
30. Isreal 14%
31. Italy 1%
32. Japan 1%
33. Jordan 95%
34. Kenya 30%
35. Kuwait 89%
36. Lebanon 70%
37. Libya 100%
38. Maldives 100%
39. Malasiya 52%
40. Mauritius 19.5%
41. Mayotte 99%
42. Nigeria 75%
43. Oman 100%
44. Pakistan 97%
45. Phillipines 14%
46. Qatar 100%
47. Romania 20%
48. Russia 18%
49. Saudi arab 100%
50. Singapore 17%
51. Somalia 100%
52. Sri lanka 9%
53. Sudan 85%
54. Syria 90%
55. Tazakistan 85%
56. Tanzania 65%
57. Thiland 14%
58. Tunisia 98%
59. Turkey 99.8%
60. UAE 96%
61. UK 2.5%
62. USA 3.75%
63. Uzbekistan 88%

Where the Prophets originated:

Adam(A.S) - Sri Lanka
Nooh(A.S) - Jordan
Shoaib(A.S) - Syria
Saleh(A.S) - Lebanon
Ibrahim(A.S) - Palestine and died in iraq
Ismail(A.S) - Saudi Arabia
Yakoob(A.S) - Palestin
yahya(AS) palestine
zakariya (AS) palestine
Ishaq(A.S) - Palestin
Yusuf(A.S) - Palestin
Looth(A.S) - Iraq
Ayub(A.S) - Jordan
Hood(A.S) - Yamen
Nabi-Muhammad S.A.W) - Saudi Arabia

Data zako ni za kupika mfano Egypt wapo 74% Tanzania data zako utueleze umezitoa wapi?
 
kama humnyenyekei mungu utaitwaje muislamu asee?.

Rejea maana ya neno uislamu.

kumbe uislam ni neno? Kfupi kalia dini yako hyo bt mi naamin uwe muislam au mkristo uktenda mema utaiona mbingu ukfanya knyume jehanamu n haki yako kwaheri tutaonana sku ya hukumu, sjui kna mkwawa mungu atawafanyaje kama nyie mnadai waislam ndo wenye mbingu ilihali kuna mababu zetu walkufa c waislam wala wakristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom