Popo Bawa wewe ulichonifanyia, sikubali

Popo Bawa wewe ulichonifanyia, sikubali

Wewe utakuwa unatuzuga hapa kumbe uliingia mwenye kwenye chumba cha shamba boy wenu baadae ya kutoka chooni ukazuga umekosea mlango,pole by the way
 
acha uongo popo bawa mwaka wa saba huu yupo kwake baharini anatafuna karanga na kupepea bakio lake nasikia mwakani anarudi maana anapenda miaka tasa tu hi inayogawanyika kwa mbili hataki
 
Sio karanga tu, pia anatafuna mihogo mibichi na kushushia supu ya pweza, Kasinde ajiandae tu mwakani ligwaride lake!
acha uongo popo bawa mwaka wa saba huu yupo kwake baharini anatafuna karanga na kupepea bakio lake nasikia mwakani anarudi maana anapenda miaka tasa tu hi inayogawanyika kwa mbili hataki
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuniambia ndo unagundua kuwa huwa tunalala wote au unataka kuuaminisha nini umma wa wanajf?

Nataka uma wa JF wajue kuwa mimi na wewe tu wapenzi. Tena mapenzi yetu hayajaanzia gesht haush.
 
......ila bora hadithi za shigongo zinamafundisho kuliko utumbo wa huyu ntu.

Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kupost kitu kama hiki? Na anajua kabisa mada zinazojadiliwa humu,aisee hadi mtu unapata kero kusoma...
 
Kama ni kweli kuna limjamaa umelizungusha siku nyingi likakwendea pangani na kuingia kwako. Tegemea mimba zisizotegemewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom