NDUMBA IMELIPA DADEKI ZAKE.

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Huyu Dem tulikutana sehem falani alinikuta kazini kwenya kampuni Moja sihitaji.
Baada ya muda flani tukaziweana na kukazaliwa mapenzi. Nilimpenda sana Dem naye mwanzoni akaonesha kama amenielewa sana. Kila nikiomba kipindi anasema tusubiri ndoa. Sasa kwakua malengo ilikua kuonana sikutaka kuwa na haraka nisije haribu.
Mambo yaliiva mpaka kutambulisha na Kwa wazazi wa pande zote mbili. Pamoja na kamshahara kadoogo nilijitutukua mumuhudumia kama jukumu langu mwanaume isitoshe nimeshajihakikishia namba first eleven.
Zawadi Kwa mama mkwe za kumwaga mpaka napigiwa sim kama Kuna changamoto za familia nashiriki Kwa mawazo na Pesa.
Jamii yote mpaka kanisani walijua ndoa yetu ndivyo inayofuata.

Sasa ikatokea Dem akaaknza kubadilika hataki hata kuniona. Nilitaka kuongea naye hata tukiwa karibu na watu anapaza sauti jankutoa matusi ili watu wasikie anavyo ninyea. Duh kidume nikaishi maisha ya tabu sana, Mapenzi ubaki kusikia. Masela pale kazini wakaingilia kati kuokoa jahazi dema hataki kusiki.
Zikapita siku nikaanza kukonda na Mpaka naiogopa kukutana na watu wanao nifahamu. Nikiona watu wanaongea mambo Yao nahisi wananiteta. Utendaji kazini ukashuka nikawa sieleweki.

Balaa zaidi ni pale zilipovuma habari kuwa dem anachukuliwa na Boss Moja pale na wanaishi pika pakua. Nakaanza kufanya upelelezi. Sikumoja nikaenda usiku Kwa nyumba ya yule Boss, Lahaula... Nakasikia live live nakwambia live Dem anafanya mapenzi nanhuyo boss... Nakwambia nilijua kwanini nimeenda pale. Kuna mwamba Mmoja alinipa kampani ili kama kutatokea lolote basi aokoe jahazi.
Jamaa naye akasikia Kila kitu live
Usiku huo sikulala na jamaa alibidi alale geto kwangu Kwa uangalizi zaidi. Unajua wamba hatutupan.
Zilipita siku kama wiki mbili, sikumoja nimekaa mgahawani huku nimemaliza kula lakini nilijikuta nimezama kwenye dimbwi la mawazo. Kitu ambacho sikujua ni yule dada muuza chakula alikua amegundua siko sawa. Baada ya muda nilinyanyuka kwenda kunawa, wakati nimeinama pale yule dada Akaja kunipa pole. Dada yule akanambia amesikia stori zangu watu walikuta wanaongea pale mgahawani. Nilifadhaika sana, ikabidi nimsimulie Kila kitu. Mdada akasikitika sana na kunionea huruma.
Yule dada akaniuliza " kwahiyo unaliacha hili lipite hivihivi?" Nikamjibu Sasa nitafanyaje dada yangu! Nikichukua Sheria mkononi nitafungwa na Mimi ukoo unanitegemea. Yule dada akasema anataka kunisaidia anipeleke sehem nikampige kimbora yule Dem.
Angalau hiyo ikawa taarifa ya matumaini kwangu. Gafla nikachangamka nankuchukua details na codes zote za huko location.
Bila kuchelewa nikajipanga wikiendi nikazama Kwa Mzee wakimila. Ilikua mbali kidogo nikalipa bodaboda tsh30000.

Nikaonana na Mzee babu, kitu Cha ajabu akanambia yeye hafanyi ramli Bali anasikiliza Maelezo, hapo nikaanza episode zangu mpaka mwisho. Babu akaonesha kutumia na kukasirika Kisha akawa ananipa pole Kila muda. Aliingia ndani chumbani kwake kama lisaa Kisha akatoka. Kanambia Sasa nakupa mtihani. Kwakua umesema hautaki kumwaga damu basi ndenda uniletee mfupa wa nyama ambao huyo binti ameutema.
Duh! Nikaona Sasa huyu baby kazi imemshinda, Sasa nitaupataje? Nikajutia moyoni nikasema ningajua hapo zamani ningekusanya hata kiroba.
Baada ya kurudi job nikamuona yule mwamba steringi msaidizi, nikampa kibarua Cha kupata huo mfupa uliotemwa na yule Dem. Jamaa akaingia site, baada ya wiki mbili jamaa akawa amefanikiwa. Alifabyaje ni mbinu za CIA zilitumika na kwakua den namjua vema nilijua itakuaje mpaka kuuoata kirahisi, mkeka ukatikainna safari ikaanza kwenda Kwa babu Putin.
Njiani jikabeba na zawadi ya sanaki Sangara mkubwa mpaka Kwa babu. Mkono mtupu haulambwi, Babu Putin alionesha kufurahi na kuchangamka sana.

Ikafika muda Babu akapotea na ule mfupa kama masaa sita, ilipofioa jioni kama saa 2 ndipo akarudi akiwa kufua wazi mapak ndani kwake.
Nilikua nje napiga stori na jamaa Mmoja aliyekua anapata tiba hapo kama miezi mitano ananisimulia madhila yake na kumshukuru Mungu.
Baada ya Muda nikaiwa na Bibi, nakaingia mpaka ndani, bila hata ya Salam, Mzee akanipa wembe na kuniambia nikate msalaba kwenye chungu chenye dawa ya Maji na ule mfupa. Kisha akawasha kiberiti na kuniambia niseme nitakachoa lakini sio kuua.
Nikasema " Wewe.... Nakufungia kuolewa hapa duniania labda ukaolewe kaburini" mzee akawasha Ile dawa ya Maji ikaanza kuwaka mpaka ikakauka na mfupa uke uakabaki mweusi. Nilishangaankuona Maji yanawaka. Mzee alibaki kimya anaongea maneno yake mpaka moto ukazimika. Akaunda mfupa kwenye ngozi flani na kamba ailiyookotwa kwenye choo kilicho bomoka. Kisha akanipatia nikapokea Kwa mkono wa kushoto. " Nenda kazika kwenye mlima au Jabali kubwa" Wakati unazika maneno .
Alinipeleka sehem kwenye Jabali flani kubwa. Nikazima pale " Wewe ... Nakuweka hapa, naizika hatma yako, usiolewe na kuanzia Sasa usiwe na heri na wanaumebwote isipokua bababyako tu" Nikapiga na nyundo zingine kama vile nanena Kwa lugha huku machozi na jasho vinanitoka.
Nikipo malizia nikafukia nankugeuka nyuma. Kumbe Mzee naye Kwa nyuma alikua anaendelea na kazi yake. Alikua amewasha moto kwenye kisahani kidogo na kukiweka katikati ya miguu yake huku Moshi ukimpandika katikati ya miguu.
Alipomaliza malizia naye akaenda pale penye shimo lile kwenye jiwe, akaaknza kumwagia dawa huku anaongea maneno yake. Kisha akauleta ule moto akaumwaga pale juu. Tukaondoka.
Tulipofika nyumbani akanambia kesho niamke na kuondoka bilakuaga wala hata nikimuona nisimsalimie. Asubuhi nikaondoka alfajiri. Kule kazini nikampa mrejesho yule dada mamantilie. Dada akanipa Mikasa yake Kwa ufupi kitu ambacho kiliniongezea kuamini kazi za Mzee.
Hali yangu ikaimarika na nikaanza kuzowea huku nasubiria matokeo.
Ilipita kama Mwezi Mmoja yule Mwamba wangu Akaja sikumoja akiwa anacheka sana, nikamuuliza kulikoni akanambia amepata habari kuwa yule Dem na boss wetu wamevurugana mpaka dema kuchapwa vibao nakutupiwa nje nguo zake alikua anaziacha kule Kwa Bosikijana.
Niseme ukweli Mimi sio mnyaji wa pombe lakini siku hiyo nilimwagilia moyo balaa nikaiwa na Mwamba wangu. Huyu mwamba ni wale masela wanakuwaga kama ndugu wa damu.
Ilipita muda wa mwaka Mmoja nikapata kazi nzuri zaidi nikahamia Dar es Slaaaaam mijini. Niwa mwanaume wa Dar, Handsome mfalani mjanja najua kuvaa. Lakini Bado nilitamani kujua kazi yangu hatma yake ni ipi kulingana na nia yangu niliyotia kula Kwa Babu Putin.
Habari njema ni kwamba Jana nimepata Zandaaani kabisa kuwa yule mrembo Sasa akiwa na miaka 44 hajawahi kuolewa Wala kuwa na mahusiano ya maana zaidi ya kudanga tu. Sijui kama amesha zaa Bado nafikiria. Yule Mwamba alikuja kuondoka naye Hana info za kutosha.
Kiukweli Ulozi sometimes unatusaidia sisi hohehahe...
See you in the Next Episode...
 
...No, hatuna haja ya kukuuliza Mzee Putin anapitikana Wapi! Lipia TU TOngOzO....!
 
Tangazo linajitosheleza ngoja wateja waje mkuu

Tangazo bila bei ya huduma sio zuri inatuchosha kufata piemu,Anyway hongera sana mkuu kama mtu alikusababishia matatizo haina budi kuyalipa mara 2 no room for the weak
 
Nimesoma aya nne nikaishia hapo baada ya kugundua hakuna uhalisia kwenye story, mwisho mwisho nimepitisha macho kama vile unatafuta maboya uyapige. Maoni yangu lakini
 
Hahahah

Mimi mwenyewe nafikiria kuvunja viapo vyangu vya kutotia mguu kwa babu Ili niende kumfix mtoto mmoja mpuuzi sana alienidharau wakati kwetu Mimi chifu wa ukoo.

Yaani kala vyangu kibao mzigo sijala na wakurungwa wanamchapa tu.

Hawa Wanawake wa siku hizi Wana tabu sana hadi tunawaza mambo meusi dhidi yao.
 
Honest mimi binafsi naona hukufanya sawa,

Anayekupa mke ni Mungu ,anayepanga umuoe nano ni Mungu ,

Mtu anapokuachaa ni Mungu anakuepusha na matatizo

Hakuna jambo lolote linalotokea kwa bahati mbaya.

Hivyo ujifunze.
And hata wewe mwisho wako hautokuwa mzuri pamoja na kujua kuvaa and kedekede.

Apandacho mtu ndicho atakachovuna

Maoni yangu yasipingwe kwa nyundo ,Bali kwa hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom