Wakati naangalia matangazo live ya moja kwa moja kuwasili kwake huko Korea kusini kitu nilichonoti inaonekana watu wa usalama wa vaticani wako makini sana na wanajua nini wanafanya.Kumbe ivyo vidude vyeupe kwenye koti zao kushoto ni maic wanawasiliana na wengine waliovaa vidude masikioni
unaongelea viongozi gani mkuu
Huyu mzee kweli hana makuu, tena hii IST unaambiwa ni used wameagiza Japan kwa kampuni ya Be Forward inayouza magari ya mtumba
Huyu mzee kweli hana makuu, tena hii IST unaambiwa ni used wameagiza Japan kwa kampuni ya Be Forward inayouza magari ya mtumba
hiyo siyo ITS (IST?) bana, ni Kia Soul, safi lakini kuliko kupanda migari mikubwa yenye bulletproof everything wakati ni kiongozi wa kiimani!
Masaa manne tu toka atumie hii gari unaambiwa sasa hivi imekuwa maarufu sana watu wanaanza kuzitafuta kununua Naona amewasaidia kutangaza Biashara wote mnao tumia aina hii ya garri heshima kwenu.
Nilikuwa nasikia tu ila kuelezewa nakuonyeshwa ilikuwa bado sasa leo nimeamini aisee