Sasa ww ndetichia una quote mapicha yote haya unajaza pg za bure, uwe unafuta kwanza ume quote picha km 10 coment yako 1 line, unajua kweli kubana matumizi?
Bora kuliko zote duniani halafu Baba mtakatifu anapigwa risasi katikati ya st Peters square sio?! bora kweli kweli
Kuna wale wachungaji wanaojiita manabii wanatumia ma-hammer.