Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,545
- 30,108
Huyu mzee kweli hana makuu, tena hii IST unaambiwa ni used wameagiza Japan kwa kampuni ya Be Forward inayouza magari ya mtumba
Ha ha ha ha...Mkuu umenichekesha sana..
Huyu mzee kweli hana makuu, tena hii IST unaambiwa ni used wameagiza Japan kwa kampuni ya Be Forward inayouza magari ya mtumba
Kuna muda humu JF wasiokuwa na adabu walikuwa wakiviita Babywalker..... Sasa hivi watavipa sijui jina lipi.....
Hii iwe mfano kwa Wengine hasa viongozi tena wale wa Dini wanaotumia magari ya kifahari sana.
Mkuu siku hizi ni mwendo wa Helkopta...Na waumini wao wanawashangilia..
NAPITA, mbona hao walinzi walio na hizo mic ni wazee sana, wanauweza "mtiti" wa kuvunja tofali hawa?
Hali mbaya sana kwa hawa ndugu kwakweli...badala ya kununua uwanja ajenge kanisa, Hospitali, Shule, Nyumba za vikongwe na Yatima unakimbilia kutembea angani kama popo huku watu wako wakiwa washangiliaji hadi sauti zinakauka. Hii ni dhambi kubwa sana. Sasa wenye uwanja wao wameshauchukua sijui hao ndugu (waumini) utakutana nao angani.
Ulikuwa hujui usalama wa vatican ndio bora kuliko zote duniani?
Bora kuliko zote duniani halafu Baba mtakatifu anapigwa risasi katikati ya st Peters square sio?! bora kweli kweli
Hii iwe mfano kwa Wengine hasa viongozi tena wale wa Dini wanaotumia magari ya kifahari sana.
Ulikuwa hujui usalama wa vatican ndio bora kuliko zote duniani?